Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Unaropoka nn ww usifananishe tz na kenya wanaokandamizwa kwa kodi kandamizi
ummayed...mbna maelezo ni mengi...au nikupe data....mambo sijui maisha ni rahisi..hyo ni kawaida kwa nchi maskini(ldc) vitu kuwa rahisi...
na usitudanganye hapa...bei za bidhaa kenya tz hazipishana kw mbali...so porojo sitaki...

joto la jiwe...nikikuletea comments za watanzania wenzako hapa jf utakimbia...mwisho utawavua utaifa na kuwaita raia haramu...so kw comments usiguse kabisa...

imhotep..umejionea mwenyewe..kw kuongea ukwel ukavuliwa utaifa tayari....hahahaaaa.

kweli watu wa ndioo ni madondocha...mtu anaiamini ccm hata kuliko wazazi wake
 
Ni nn nachokizungumzia unakataa nn unakubali nn mm naongea kodi za biashara ww kuku
kwanza ujue ummayed..kenya hatulipii kodi nyumba au kiwanja kwa serikali....labda biashara na majengo ambayo ni ya biashara..tena hayo majengo ya biashara labda city center ama town center...
 
Kenya mnakataa nn nchi yenu ina mafisadi wengi mno kuliko tz ndio maana uchumi wenu una gradual changes
Like I said before the amount of resources and money Tanzania has lost over the years is much more than that of Kenya and nobody is ready to admit.
 
Aiii kenya a nation full of debts
Who is jealous of Tanzania?...I think no Kenyan is jealous of Tanzania most are preoccupied with solving their own problems very few Kenyans even know you are building sgr .You guys are the one jealous of Kenya .
 
Unasemaje una uchumi imara ilhal project za nchi yako zinaenda kwa kusua sua ww umeanza kuendelea toka nyuma kwa viwanda vya mkolon sis tz tuloijenga nchi kwa jasho letu tumekukuta uko pale huend popote then unasema una uchumi imara waangalien Egypt wenye uchumi imara ww kenya still underdog km simba alivyo jana kwa Sevilla
Somo zuri.
 
Ase we jamaa nina shaka na ww mwalim wako amepata tabu sana na ww ase hv unaelewa ht nachoongelea.
Mbali na nyumna za Tembe pia kuna ulaji wa Viwavijeshi
 
Attachments

  • armyworm-1-650x488.jpg
    armyworm-1-650x488.jpg
    32.6 KB · Views: 11
WATANZANIA WALA VIWAVI JESHI BAADA YA UHABA WA CHAKULA ~ FICHUO

fichuotz.blogspot.com

Wakazi wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakula wadudu jamii ya viwavi jeshi, wanaojulikana kwa jina la fumbili kutokana na njaa kali iliyoikumba wilaya hiyo.

Hata hivyo, chakula hicho huenda kikapotea wakati wowote kutokana na mvua kutonyesha hivyo wadudu hao, ambao huishi kwa kutegemea majani, nao kupotea kwa kukosa chakula.

Mbali na fumbili, chakula kingine ambacho kilikuwa mkombozi kwa wakazi wengi, hususan Tarafa ya Chilonwa, ni matunda ya zambarau ambayo nayo yatakwisha wakati wowote kwani msimu wake umekwisha.

Chamwino ni wilaya iliyoko takriban kilomita 30 kutoka mjini Dodoma, ikikadiriwa kuwa na watu 349,714 na mazao ya chakula yanayolimwa kwenye wilaya hiyo ni mtama, uwele, mpunga, mahindi, mihogo, viazi vitamu, kunde, nyonyo, mbogamboga na choroko.

Juzi, Mbunge wa Chilonwa, Joel Mwaka aliitisha kikao cha dharura cha madiwani wote wa jimbo hilo lenye kata 14 kujadili suala hilo na kila diwani aliyechangia mjadala huo, alionyesha kujuta kugombea kwa kuwa wananchi wanamlilia.

Madiwani hao waliweka azimio la kusafiri kwenda Ikulu, Dar es Salaam kuwasilisha kilio cha wananchi wao.

Akizunguma kwenye kikao hicho, Mwaka alisema hali ya wakazi wa Chilonwa ni mbaya kiasi hakuna matumaini hata ya kupata mlo mmoja na badala yake wengi wanaishi kwa uji na matunda pori na fumbili.

Mbunge huyo alilaani mpango wa Serikali wa kuwapa vibali wafanyabiashara kwenda kuchukua mahindi katika ghala la chakula la Songea kwani bei zinakuwa kubwa.

“Ndiyo maana wanyabiashara wengi walikataa kwa kuwa bei inakuwa ni kubwa ambayo haiwezi kurudisha hata gharama zao, kitendo hicho kimefanya wafanyabiashara wa kawaida kuendelea kuwaumiza wananchi, lakini hakuna mwenye uwezo kipindi hiki, nasema walete mahindi ya bure siyo ya kununua tena,” alisema Mwaka.

Mbunge huyo alihoji ni kwa nini Serikali isiruhusu ghala la mahindi la Kizota, Dodoma kutoa mahindi kwa wafanyabiashara ili bei isiwe kubwa kama ilivyo sasa. Alisema bei ya sasa ya Sh15,000 kwa debe la kilo 20 ni kubwa na wachache ndiyo wanaoweza kuimudu.

Diwani wa Majeleko, Mussa Omari alifika kwenye kikao hicho akiwa na fumbili wengi akisema aliwakamata wakati akishirikiana na wapigakura wake kupata kitoweo.

Hata hivyo, hakuna diwani aliyeonyesha mshangao kwani kila mmoja alisema hata kwake wanakula wadudu hao na ni jambo la kawaida.

Mussa alisema hali ni mbaya zaidi kwenye kata yake na tayari baadhi ya watu wameanza kuvimba miguu kwa kukosa chakula, huku kukiwa na taarifa za vifo vinavyosadikiwa kuwa vimetokana na watu kukosa lishe.

Diwani wa Zajilwa, Farida Maulidi alisema katika eneo lake, kuna kaya 10 ambazo zimeelemewa zaidi na tayari kuna taarifa za vifo viwili. “Kwangu hali ni mbaya sana yaani naomba tuandamane kwenda hata kwa mkuu wa mkoa au niungane na wenzangu twendeni Ikulu tukamuone Rais. Mbona, pamoja na kusema hakuna mtu atakayekufa kwa njaa, huku watu wanateketea na sisi tupo? Kila siku nafanya kazi ya kutafuta uji kunusuru maisha ya watu wangu,” alisema Maulid.

Ofisa kilimo wa wilaya hiyo, Godfrey Mnyamale alikiri kuwa hali ni mbaya wilayani Chamwino na kusema kama juhudi za makusudi hazitachukulia ndani ya wiki moja, kutakuwa na madhara makubwa.

Mnyamale alisema tatizo kubwa lililoikumba Chamwino ni mvua kidogo zilizonyesha msimu wa mwaka jana iliyosababisha watu wasivune chakula cha kutosha.

Alisema ili kukabiliana na njaa iliyoanza wilayani humo tangu Aprili mwaka jana, jumla ya tani 14,377 za mahindi zinatakiwa kwenye vijiji 107, lakini hadi sasa Serikali imepeleka tani 150 tu ambazo ziligawiwa katika vijiji 10 tena kwa idadi ndogo.

Akizungumzia hali hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa alisema Serikali haijalala katika kuwaza namna ya kuwasaidia.

Galawa alisema katika kipindi kilichopita, Chamwino ilipewa msaada wa chakula lakini kilikuwa hakitoshi na ndiyo sababu hakikupelekwa maeneo yote.

“Hata hivyo, lazima watu wajue kuwa huwezi kuomba chakula leo na ukapewa leo. Leo kamati ya mkoa imeshapeleka maombi taifa na juzi niliongea na mhusika kwamba wanalifanyia kazi,” alisema Galawa.

Kuhusu wafanyabiashara kulazimishwa kununua mahindi Songea badala ya Dodoma, alisema jambo hilo liko nje ya uwezo wake kwa kuwa wenye kuwapangia ni mamlaka ya chakula.

Aliwataka wanasiasa kuacha kukuza mambo kuwa kuna watu wamekufa kwa njaa, badala yake watumie muda huo kuwahamasisha wafugaji kuuza mifugo na kununua chakula.
 
Unaropoka nn ww usifananishe tz na kenya wanaokandamizwa kwa kodi kandamizi
bwahahaaa..napenda sana mtu km wewe...maneno mengi ila facts huna..hapo kw kodi kandamizi..vipi machinga.....wachana na machinga sasa...umesahau kw magu watu wanafunga biashara kw ajili ya kodi...alafu mwisho kabisa...

nitajie mtadi wa magu ambao kaunzisha na umeshakamilika..hapa tunaenda kw hoja porojo hatutaki...narudia tena..hapa tunaenda kw hoja..porojo hatutaki..

kandamizi ni hzo za kwenu kulipia kodi nyumba na kiwanja chako cha kuishi kw serikali...
men,una lease land kw serikali..kisha mnadanganywa eti ardhi ni ya watanzania...ardhi ni ya ccm bana...unapewa ardhi eti kw mda flani..are you a foreigner
 
Kweli wakenya uozo we unajiita una maendeleo ilhali ht mirad yako waiendesha ki umatata nataka unijibu swali moja kivp ww uanze kuendelea uweke mirad toka kipind kile isikamilike mm nilotoka nyuma nikukute na niwe na project km zako na zingine za kukuzid wakenya mamburura kweli.km mmeendelea mbona matajir wakubwa wanatoka tz akina mengi,Said salim na wengineo
ummayed...mbna maelezo ni mengi...au nikupe data....mambo sijui maisha ni rahisi..hyo ni kawaida kwa nchi maskini(ldc) vitu kuwa rahisi...
na usitudanganye hapa...bei za bidhaa kenya tz hazipishana kw mbali...so porojo sitaki...

joto la jiwe...nikikuletea comments za watanzania wenzako hapa jf utakimbia...mwisho utawavua utaifa na kuwaita raia haramu...so kw comments usiguse kabisa...

imhotep..umejionea mwenyewe..kw kuongea ukwel ukavuliwa utaifa tayari....hahahaaaa.

kweli watu wa ndioo ni madondocha...mtu anaiamini ccm hata kuliko wazazi wake
 
Hiyo habari ya lin na sasa hv ni lini maana dodoma now mvua zanyeesha na mazao yanakimika
WATANZANIA WALA VIWAVI JESHI BAADA YA UHABA WA CHAKULA ~ FICHUO

fichuotz.blogspot.com

Wakazi wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakula wadudu jamii ya viwavi jeshi, wanaojulikana kwa jina la fumbili kutokana na njaa kali iliyoikumba wilaya hiyo.

Hata hivyo, chakula hicho huenda kikapotea wakati wowote kutokana na mvua kutonyesha hivyo wadudu hao, ambao huishi kwa kutegemea majani, nao kupotea kwa kukosa chakula.

Mbali na fumbili, chakula kingine ambacho kilikuwa mkombozi kwa wakazi wengi, hususan Tarafa ya Chilonwa, ni matunda ya zambarau ambayo nayo yatakwisha wakati wowote kwani msimu wake umekwisha.

Chamwino ni wilaya iliyoko takriban kilomita 30 kutoka mjini Dodoma, ikikadiriwa kuwa na watu 349,714 na mazao ya chakula yanayolimwa kwenye wilaya hiyo ni mtama, uwele, mpunga, mahindi, mihogo, viazi vitamu, kunde, nyonyo, mbogamboga na choroko.

Juzi, Mbunge wa Chilonwa, Joel Mwaka aliitisha kikao cha dharura cha madiwani wote wa jimbo hilo lenye kata 14 kujadili suala hilo na kila diwani aliyechangia mjadala huo, alionyesha kujuta kugombea kwa kuwa wananchi wanamlilia.

Madiwani hao waliweka azimio la kusafiri kwenda Ikulu, Dar es Salaam kuwasilisha kilio cha wananchi wao.

Akizunguma kwenye kikao hicho, Mwaka alisema hali ya wakazi wa Chilonwa ni mbaya kiasi hakuna matumaini hata ya kupata mlo mmoja na badala yake wengi wanaishi kwa uji na matunda pori na fumbili.

Mbunge huyo alilaani mpango wa Serikali wa kuwapa vibali wafanyabiashara kwenda kuchukua mahindi katika ghala la chakula la Songea kwani bei zinakuwa kubwa.

“Ndiyo maana wanyabiashara wengi walikataa kwa kuwa bei inakuwa ni kubwa ambayo haiwezi kurudisha hata gharama zao, kitendo hicho kimefanya wafanyabiashara wa kawaida kuendelea kuwaumiza wananchi, lakini hakuna mwenye uwezo kipindi hiki, nasema walete mahindi ya bure siyo ya kununua tena,” alisema Mwaka.

Mbunge huyo alihoji ni kwa nini Serikali isiruhusu ghala la mahindi la Kizota, Dodoma kutoa mahindi kwa wafanyabiashara ili bei isiwe kubwa kama ilivyo sasa. Alisema bei ya sasa ya Sh15,000 kwa debe la kilo 20 ni kubwa na wachache ndiyo wanaoweza kuimudu.

Diwani wa Majeleko, Mussa Omari alifika kwenye kikao hicho akiwa na fumbili wengi akisema aliwakamata wakati akishirikiana na wapigakura wake kupata kitoweo.

Hata hivyo, hakuna diwani aliyeonyesha mshangao kwani kila mmoja alisema hata kwake wanakula wadudu hao na ni jambo la kawaida.

Mussa alisema hali ni mbaya zaidi kwenye kata yake na tayari baadhi ya watu wameanza kuvimba miguu kwa kukosa chakula, huku kukiwa na taarifa za vifo vinavyosadikiwa kuwa vimetokana na watu kukosa lishe.

Diwani wa Zajilwa, Farida Maulidi alisema katika eneo lake, kuna kaya 10 ambazo zimeelemewa zaidi na tayari kuna taarifa za vifo viwili. “Kwangu hali ni mbaya sana yaani naomba tuandamane kwenda hata kwa mkuu wa mkoa au niungane na wenzangu twendeni Ikulu tukamuone Rais. Mbona, pamoja na kusema hakuna mtu atakayekufa kwa njaa, huku watu wanateketea na sisi tupo? Kila siku nafanya kazi ya kutafuta uji kunusuru maisha ya watu wangu,” alisema Maulid.

Ofisa kilimo wa wilaya hiyo, Godfrey Mnyamale alikiri kuwa hali ni mbaya wilayani Chamwino na kusema kama juhudi za makusudi hazitachukulia ndani ya wiki moja, kutakuwa na madhara makubwa.

Mnyamale alisema tatizo kubwa lililoikumba Chamwino ni mvua kidogo zilizonyesha msimu wa mwaka jana iliyosababisha watu wasivune chakula cha kutosha.

Alisema ili kukabiliana na njaa iliyoanza wilayani humo tangu Aprili mwaka jana, jumla ya tani 14,377 za mahindi zinatakiwa kwenye vijiji 107, lakini hadi sasa Serikali imepeleka tani 150 tu ambazo ziligawiwa katika vijiji 10 tena kwa idadi ndogo.

Akizungumzia hali hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa alisema Serikali haijalala katika kuwaza namna ya kuwasaidia.

Galawa alisema katika kipindi kilichopita, Chamwino ilipewa msaada wa chakula lakini kilikuwa hakitoshi na ndiyo sababu hakikupelekwa maeneo yote.

“Hata hivyo, lazima watu wajue kuwa huwezi kuomba chakula leo na ukapewa leo. Leo kamati ya mkoa imeshapeleka maombi taifa na juzi niliongea na mhusika kwamba wanalifanyia kazi,” alisema Galawa.

Kuhusu wafanyabiashara kulazimishwa kununua mahindi Songea badala ya Dodoma, alisema jambo hilo liko nje ya uwezo wake kwa kuwa wenye kuwapangia ni mamlaka ya chakula.

Aliwataka wanasiasa kuacha kukuza mambo kuwa kuna watu wamekufa kwa njaa, badala yake watumie muda huo kuwahamasisha wafugaji kuuza mifugo na kununua chakula.
 
Aiii kenya a nation full of debts
gdp to external ya tz unaijua...yani hapa hoja tu...hamna porojo...jiwe kasema mnatumia pesa za ndani..kipato chenyewe cha nchi ni kidogo..laribu nusu ya budget yenu mnategemea misaada...deni limeongezeka...sasa nambie hayo madeni yametumika kufanyia miradi gani na wakati mkulu kasema mnatumia pesa za ndani...

ukilialia sana nakuwekea facts..usijali...
hapa hatutaki porojo..narudia tena hapa hatutaki porojo
 
Hiyo habari ya lin na sasa hv ni lini maana dodoma now mvua zanyeesha na mazao yanakimika
Hahaha kwa hiyo umekubali kuwa makao makuu huwa wanakula worms..

Mkenya hata kama ni maskini aje Bandika na Sukumaa haimshindi
 
Mradi wa daraja la nyerere,mradi wa kurekebisha meter gauge na kuifungua meter gauge maeneo kaskazn mwa tz.mradi wa mwendo kasi,mradi wa fly over ya tazara,mradi wa kununua bombadier na Boeing na bado zingine zaja mwisho mwa mwaka huuu aya niambie kwa kasi tulioifanya nyie mlitumia muda gani kwa kufanya vtu hv
bwahahaaa..napenda sana mtu km wewe...maneno mengi ila facts huna..hapo kw kodi kandamizi..vipi machinga.....wachana na machinga sasa...umesahau kw magu watu wanafunga biashara kw ajili ya kodi...alafu mwisho kabisa...

nitajie mtadi wa magu ambao kaunzisha na umeshakamilika..hapa tunaenda kw hoja porojo hatutaki...narudia tena..hapa tunaenda kw hoja..porojo hatutaki..

kandamizi ni hzo za kwenu kulipia kodi nyumba na kiwanja chako cha kuishi kw serikali...
men,una lease land kw serikali..kisha mnadanganywa eti ardhi ni ya watanzania...ardhi ni ya ccm bana...unapewa ardhi eti kw mda flani..are you a foreigner
 
Kweli wakenya uozo we unajiita una maendeleo ilhali ht mirad yako waiendesha ki umatata nataka unijibu swali moja kivp ww uanze kuendelea uweke mirad toka kipind kile isikamilike mm nilotoka nyuma nikukute na niwe na project km zako na zingine za kukuzid wakenya mamburura kweli.km mmeendelea mbona matajir wakubwa wanatoka tz akina mengi,Said salim na wengineo
kwanza mengi ni marehemu...usimtaje taje taje katika mada za kipuuzi...heheee...we uko desperate kwel...we umekaririshwa maneno tu bila shaka..

haya..nipe hyo miradi ambayo mmeikamilisha
 
Mwongo kwanza usinidanganye tz den limeongezeka mkuu alikataa kukopa km haujui ila pesa moja wapo alizozipata kuendeshea mrad ni zile za msaada wa bill gates dollar million 500 alizotoa alipokuja tz kingine gdp ya bongo ilikua mpk kwenye 56 billion dollars km unabisha ingia mtandaon uangalie top ten richest countries in Africa utaikuta tz ya kumi kwa gdp ya 56 billion kuku ww
gdp to external ya tz unaijua...yani hapa hoja tu...hamna porojo...jiwe kasema mnatumia pesa za ndani..kipato chenyewe cha nchi ni kidogo..laribu nusu ya budget yenu mnategemea misaada...deni limeongezeka...sasa nambie hayo madeni yametumika kufanyia miradi gani na wakati mkulu kasema mnatumia pesa za ndani...

ukilialia sana nakuwekea facts..usijali...
hapa hatutaki porojo..narudia tena hapa hatutaki porojo
 
Mradi wa daraja la nyerere,mradi wa kurekebisha meter gauge na kuifungua meter gauge maeneo kaskazn mwa tz.mradi wa mwendo kasi,mradi wa fly over ya tazara,mradi wa kununua bombadier na Boeing na bado zingine zaja mwisho mwa mwaka huuu aya niambie kwa kasi tulioifanya nyie mlitumia muda gani kwa kufanya vtu hv
heheeeee...walikuja wenzako wengi sana km wewe...BRT ni mwendo wa hasara,ATCL ndege ziko parking zinatoa kutu,flyover ya tazara mmepewa msaada na japan,....
hhhhhh...umesahau na bagamoyo port,stigglers george,kigamboni city,reli ya umeme
 
Back
Top Bottom