mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Uhuru Kenyatta alisifiwa Sana kwamba ni baba wa demokrasia barani afrika na baadhi ya wanazi wa siasa za Kiki, za kukurupuka.
Sasa ameingiwa wasiwasi wa kushindwa uchaguzi wa marudio.
Je? huyu anastahili zile sifa alizopewa na wanasiasa wakiwemo wa Tanzania kwa kukanyaga demokrasia nchini Kenya?
Tujadili kwa lengo la kujifunza tabia za wanasiasa wa afrika