pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Go Mr President wanyooshe kabisa, wakati wao wanaandamana bure Uhuru Kenyatta anatumia njia zinazofaa kupitia bunge kuchapa strategy zake! Achana na hao machizi wa NASA, na bado watakiona cha moto!