Uhuru Kenyatta anatumia uwingi wa wabunge kubadilsha sheria kabla ya uchaguzi wa marudio kuinyamazisha mahakama

Rais Uhuru na Rais Museveni wameona jinsi ya kupambana na vyama vya upinzani lazima wafuate style ya Rais Magufuli katika ku deal nao.
Kwahiyo kifuatacho ni kubadili gear angani sio
 
Hii ni mitego huwa wanawekewa nchi za kiafrica kuwagombanisha kuhusu maswala ya uchaguzi kuamliwa na mahakama
America akisha tanganzwa na tume ndo kwisha
Nchi zingine Africa majaji wawili mmoja wa tume ya uchaguzi mgene wa mahakama
Mwiso wake ndo malumbano
 
Hatafanikiwa atakwama
Kuna jamaa amehojiwa Kenya akasema mtu yoyote anaweza pinga jaribio hilo mahakamani.
Inatakiwa kabla ya kubadili sheria hizo ni lazima kuna kamati zikae kujadili ndipo bunge libadili, naona anakurupuka hovyo
 
Uhuru alitarajia kubebwa na Jamie mkuu....
Na ilipokua kinyume chake, akajikuta anaweweseka
 

1. Uwingi (majority) ndio basis ya democracy. Yaani majority wins.
Sioni lolote mbaya kutumia majority kubadilisha sheria. Hivo ndivo iko kila pahali. Ata saa hii Trump anajaribu kutumia majority yake kubadilisha Obamacare.

2. Uhuru/Jubilee hajaleta sheria mpya. Anachofanya ni kubadilisha kidogo, yaani amendment. Kabla ya kuandikika taka taka, ni vizuri kuisome ndivo ujiamulie.

Mabadilisho yanayoletwa ni kama:

- Manual transmission ifanywe primary kisheria, electronic iwe secondary. (Sheria ya sasa inasema vivi hivi, lakini haiko categorical.. yaani kuna grey area). Amendment ya Jubilee inaifanya iwe crystal clear.

- Kukiwa na tofauti kati ya electronic na manual results, manual ndio kuu. Yaani results zinazotangaza kwenye eneo bunge na kuandikwa kwenye Form 34B ndizo za mwisho. (Sheria ya sasa inasema vivi hivi, lakini majaji wa Supreme Court wakabadilisha wakasema kilicho kwenye electronic server ni muhimu.) Jubilee inataka kuondoa shaka.

- Returning officer au presiding officer watakao kataa kuweka sahihi kwenye Form 34A au 34B kimaksudi, watafungwa miaka 5. Hii ni kuhakikisha kwamba hakuna sabotage, kwa sababu Supreme Court ilisema sahihi ni lazima.

In short, haya mabadiliko ya Jubilee hayaleti mapya. Ilhali yanaondoa grey areas ili kuhahikisha Supreme Court haitanullify tena based on assumptions.
 
Tatzo kundi kubwa la wanasiasa waliomsifia uhuru kenyata ni wale wale wa siku zote wanaishi kama MANYUMBU hawajui wanataka nin wanaishi kutokana na kiki ,,waendelee kusifia yanayoendelea
 
Uhuru thinks he can bring the Uganda style here in Kenya?
Young man you are dreaming.
 
Si Odinga pia amesifiwa ati amepigania demokrasia na utawala wa sheria lakini ukiangalia vyema ni unafiki mtupu.

Sasa mwone alipenda sana ile maamuzi ya majority yaani majaji 4 vs 2 lakini NASA wakisikia ati Jubilee watatumia majority yao bunge wanasema hilo jambo sio sawa.
 
Huo ndio upuuzi wa vyama tawala EAC ,kwenye siasa ya vyama vingi.lakini muda utafika tu.kitaeleweka.
 
He must be like Magufuli kwani waafrika hawajui maana ya Demokrasia. Nasikia kuna mbunge alimwita Rais Uhuru kuwa mtoto wa mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…