pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Uhuru Kenyatta alisifiwa Sana kwamba ni baba wa demokrasia barani afrika na baadhi ya wanazi wa siasa za Kiki, za kukurupuka.
Sasa ameingiwa wasiwasi wa kushindwa uchaguzi wa marudio.
Je? huyu anastahili zile sifa alizopewa na wanasiasa wakiwemo wa Tanzania kwa kukanyaga demokrasia nchini Kenya?
Tujadili kwa lengo la kujifunza tabia za wanasiasa wa afrika
Kwahiyo mtu au kikundi kinaweza cheza faulo kwa kisingizio cha demokrasia?, kama Uhuru Kenyatta?Wanasiasa Dunia nzima hufanya hivyo siyo Afrika tu, wote wanapokuwa na majority Bungeni huitumia kwa maslahi yao binafsi na siyo ya nchi na hii ni Dunia nzima na ndiyo maana Demokrasia huitwa ,, tyranny of the majority"!
Kwahiyo mtu au kikundi kinaweza cheza faulo kwa kisingizio cha demokrasia?, kama Uhuru Kenyatta?
Du! [emoji16]Ndiyo maanake maadamu ni kwa mujibu wa Katiba yao, ndiyo maana ya ,,tyranny of the majority"!
Brilliant !
Uzuri ni kwamba sheria imechukua mkondo wakeWengine tulishasema toka awali kwamba Afrika kwenye demokrasia haichekani.
Unataka mahakama isifute uchaguzi kama tatizo ni hitilafu ya mitambo,je mitambo ikiharibiwa makusudi?
Na haya yanatokea kwenye nchi ambayo Ina katiba inayodhaniwa kuwa "mpya"