Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Naona huyu mkulu wa lile taifa kusini mwa taifa langu amebandikwa majina mengi, si mchezo!
Napita tu.
Napita tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliKenyetta akili kubwa, huwezi kumlinganisha na Jongoo
Nakubaliana na wewe kwamba yeye ndio mshindi, lakini ikumbukwe kuna sehemu nyingine ukiona moshi unafuka unaumwagia maji hapo hapo ili usije ukabadilika na kuwa moto mkubwa. Wakati mwingine umesema "ah ..acha tuu moto uwake maana sio mkubwa wa kutisha". Katika hili Kenyatta hana haja ya kulikuza ndio ODM wavune wafiasi. Lakini huko huko Kenya kuna vijana mablogger ambao wako jela kwa kumtukana Kenyatta, kwanini wako jela, kwasababu ni rahisi kumdhibiti mbunge au mwanasiasa kuliko kumdhibiti mwananchi wa kawaida. Kenya ipo kwenye harakati za uchaguzi, hakuna mwanasiasa mwenye akili timamu atamfunga mwanasiasa mwenzake wakiwa karibu na uchaguzi. Hata hapa Tanzania, nakuhakikishia ikifika wakati wa karibia na uchaguzi hautaona mwanasiasa yoyote anamsukuma mwenzake jela labda kama kufanya hivyo itamuongezea mwingine kura. Lakini if your high on opinion polls, why mess things up kubabaishana na vidagaa. Kumbuka Hillary was up in polls, wala hakumjibu Trump maswali yake aliyokuwa anamuliza, polls zilipo kuwa neck and neck, ndio vya chini ya kitanda vikatolewa (voice recording).ndivyo inavyotakiwa ,yeye ndiye mshindi sasa sio ku react kibabebabe kama kifaru,michele obama anakwambia when they go low we go high,yeye na mumewe wametukanwa sana mara wanaitwa ma gorilla lakini haiwaondolei focus sasa kuna reaction za watu fulani mpaka unashangaa aiseeee
Katika demokrasia lazima kuwe na kuheshimiana hakuna demokrasia ya kukashifiana au kutukanana yule mama ata yeye akitukanwa katika Jimbo Lake na wapinzani wake hawezi kuvumilia naomba atokee mkenya mmoja, katika kikao cha huyo mama amkosoe kwa kukashifu tuone kama atavumilia.. Africa tunaacha kukosoana kwa Hoja tunabaki katika matusiUkitaka kujua uchungu wa tusi na umuhimu wa heshima na adabu, atukanwe baba yako au Mama aliekuzaa na mtu wa barabarani . Hapo ndipo utakapoelewa uzito wa neno kuvunjiwa heshima.
Pogba [emoji23] [emoji23]Naona huyu mkulu wa lile taifa kusini mwa taifa langu amebandikwa majina mengi, si mchezo!
Napita tu.
Tena hapo huyo mama akutane na muuza juisi barabarani, ampe matusi mazito mawili matatu tu juu ya namna alivyovaa na sura yake ilivyo mbaya etc, mbele ya mumewe na watoto wake huku wapita njia wakiona uone atakachokifanya. Tena utasikia, kamdhalilisha sana kwa vile ni mwanamke na huyo muuza juisi anaweza hata kupotelea jela msimsikie tena.Katika demokrasia lazima kuwe na kuheshimiana hakuna demokrasia ya kukashifiana au kutukanana yule mama ata yeye akitukanwa katika Jimbo Lake na wapinzani wake hawezi kuvumilia naomba atokee mkenya mmoja, katika kikao cha huyo mama amkosoe kwa kukashifu tuone kama atavumilia.. Africa tunaacha kukosoana kwa Hoja tunabaki katika matusi
Na usishangae anamlia timing tu na yeye ampe discipline kivingine.Ila moyoni atakuwa ameumia balaa na si ajabu moyo unawaka kulipiza kisasi ama cha kisiasa ama vinginevyo.
Na ni kweli kumporomoshea matusi rais namna hiyo ndiyo uhuru wa habari na demokrasia? Unajua kuwa hata kule Marekani mbunge hawezi kumtukana rais namna hiyo? Hatuwezi kuwa na demokrasia yenye heshima na kuhojiana vyema?
Ndo maana wakasema siasa ni mchezo mchafu. Hapa alichofanya Kenyatta ni kujipatia political points za bure lakini kisasi kwa huyu mama lazima kitakuwa kinaandaliwa!!!Na usishangae anamlia timing tu na yeye ampe discipline kivingine.
Ndiyo maana yake. Yeye mama kaamua kulipuka Uhuru akaona aplay cool kama vile hajachukulia kwa umakini hilo swala, lakini ni vigumu kujua anachopanga. Huwezi kumdhalilisha mtu mzima hadharani ukabakia hivihivi.Ndo maana wakasema siasa ni mchezo mchafu. Hapa alichofanya Kenyatta ni kujipatia political points za bure lakini kisasi kwa huyu mama lazima kitakuwa kinaandaliwa!!!
hahahahahhaaha nani huyo.Kenyetta akili kubwa, huwezi kumlinganisha na Jongoo