Uhuru Kenyatta aonesha ustaarabu wa hali ya juu

Uhuru Kenyatta aonesha ustaarabu wa hali ya juu

Ndiyo maana yake. Yeye mama kaamua kulipuka Uhuru akaona aplay cool kama vile hajachukulia kwa umakini hilo swala, lakini ni vigumu kujua anachopanga. Huwezi kumdhalilisha mtu mzima hadharani ukabakia hivihivi.
Kweli wewe Uso was nyoka una visasi utadhani gaidi
 
Kukiwa na ulazima itabidi iwe hivyo ili mjue tofauti ya Demokrasia na uvunjifu wa sheria kiholela.
Gadafi naye alikuwa na imani kama yako ila siku zake zilipofika aliiacha Libya kwa Walibya. Muda ndiye adui mkubwa wa mwanadamu
 
Safi sana uungwana nivitendo wala sii kiburi.busara ni hiyo sio uustarabu kujibizana wala kulipizana mabaya.Abarikiwe sana kenyata
 
f6e19349d7f3467c46cbd4eb3983ecb0.jpg
 
Kenya nao this time wamepata Kikwete wao kwny Ulingo wa Uvumilivu na Demokrasia
 
Kweli wewe Uso was nyoka una visasi utadhani gaidi
Ni Heri mimi niliye honest na hisia zangu kuliko wanaoendekeza unafiki.
Pitia reports za miezi michache nyuma juu ya uhuru wa habari Kenya, uone idadi ya bloggers waliowekwa ndani na sababu za kuwekwa ndani ndio utaelewa maana na tafsiri ya unafiki.
 
Gadafi naye alikuwa na imani kama yako ila siku zake zilipofika aliiacha Libya kwa Walibya. Muda ndiye adui mkubwa wa mwanadamu
Kwani ni nani alikwambia kuwa Ghadafi angetawala milele au wewe hutakufa?
 
Heee kuna Maustadhi walimsomea Kikwete Albadir ili afe ? Hii ilikuwa mwaka gani ?
 
Uhuru ameyazoea madaraka hana papara ya kuonyesha kwamba yeye ni Rais!

Hahahaaaa unamaanisha kuwa Uhuru sio limbukeni wa madaraka ya Urais coz hata baba yako alishawahi kuwa Rais au vipi?! [emoji14][emoji106] Nimeipenda hiyo! Hapo mkewe atakuwa amemshauri kufanya hivyo nae akakubali ushauri wa mkewe! Ame amefanya ukristo kuwa akupigae shavu moja mgeuzie Na la pili!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Sipati picha angekua "BWANA YULE" ..mtu angepelekwa gwantanamo hapo
 
Kiongoz bora anachukua hatua zilizo bora, Uhuru anajua mambo. Ukiwa Kiongoz mkubwa lazma challenges zkupate na uelewe sio kila raia atakukubali. Namfananisha na LOWASSA. alisemwa vibaya lakin still yet alijua nn maana ya siasa. Sio hii mijitu ukiongea kdogo tu ndani, hata useme ukweli ndani, halafu mnasema tuna Demokrasia. Hamna lolote!!!

Kweli kabisa wahenga walipata kusema " mkubwa ni jaa" maana Yake ukiwa kiongozi utakuwa unapata lawama za Mara Kwa Mara ni kawaida
 
Democracy sio one size fits all affair. Kama huamini, peleka upuuzi kama huo Saudi Arabia,tena uwe mwananchi wa kawaida uitukane monarch uone. Au fanya hivyo Rwanda. Uhuru ni Rais wa Kenya na si model kwa nchi zote, hayo ni maamuzi yake. Ukitaka kujua uchungu wa tusi na umuhimu wa heshima na adabu, atukanwe baba yako au Mama aliekuzaa na mtu wa barabarani . Hapo ndipo utakapoelewa uzito wa neno kuvunjiwa heshima.
Kwani Saudi Arabia na Rwanda wana demokrasia ?
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya raisi na LAB technician.
 
Back
Top Bottom