Uhuru Kenyatta asubiriwa kwenye mdahalo wa urais Kenya

Uhuru Kenyatta asubiriwa kwenye mdahalo wa urais Kenya

Live...now..CITIZEN TV....Katika hali ya kushangaza ni mgombea mmoja tu amejitokeza..Raila Odinga wa NASA..wagombea wengine akiwemo Rais Kenyatta wa JIBILEE wameingia mtini....
 
...Kaulizwa maswali mengi na kuyajibu vyema...kuhusu corruption alipoulizwa atachukua hatua gani kupunguza tatizo la rushwa..jibu lake kasema "I will Magufulise them"
 
smh!!.....theresa may didnt show up for Englands Debate .....pili MK254 ni pro Uhuru Sioni haja ya Kumtag ....Tatu....kumbe Tanzania mnawatch TV ya Kenya .....hapa no one does at all....we didnt even realise there was a trade war [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenyans wanawachukia watanzania with no reasons. Lakini kiuhalisia wanatamani sana kuwa watz that's why mt.kilimanjaro, serengeti nk wanasema ni vyao. Huu mwaka kila mgombea anajiasibu na Magufuli mwisho watasema ni raisi wao.

By the way watu wana watch CNN, BBC na SKY tukimiss vita, mapigano, ukabila, wanaume wanaopigwa na wake zao, pombe za kienyeji na watu wenye sura mbaya ndo tunaangalia media zenu
 
Wao wenyewe kwa wenyewe wanachukiana ndio utegemee wakupende wewe jirani
 
Anadai nae alipata tatizo la tumbo kaenda hospitali. Hule ugonjwa haujawahi muacha mkenya salama.
 
Mimi nimeona tu hotuba na sio mdahalo afadhali kidogo wale wa jioni walijitahidi nashauri wakenya ni bora mkachagua mmoja Kati ya wale wa tatu na wakati mwingine hao waandaji waache ubaguzi hao wagombea wangetakiwa wakutanishwe wote ili muweze kuwapima nawasihi kama mtaendelea kubaguana hivyo kamwe dhambi ya ubaguzi aitawaacha salama jirekebisheni majirani zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am watching KTN, Odinga look drunk / a bit high, his speech is slow and he lack charisma. He need to up his game few notch, sober up a little bit and try to look more presidential if he want to win election.
wewe usitudanganye mlevi huyu hapa. Anajicho kama nyanya
IMG_20170714_000445.jpg
IMG_20170723_203045.jpg
 
The all world was watching Raila Odinga the up-coming Kenyan president...Uhuru alikuwa akipewa kipigo na mkewake kwa nini hataki kwenda kwenye debate.
images-81.jpeg
 
Najaribu kupata picha mdahalo kama huo 2020 hapa kwetu na wamesimama Magufuli na Lissu sijui itakuwa vipi?
 
Back
Top Bottom