Labda,,lakini kama yako yako sawa,,basi hebu niambie vile alivyo sema ila tuu,,kujipotezea
kura kwa kusema eti atapunguza rent ya nyumba za kukodesha.
Anahaki ya kufanya hivyo kwa nyumba alizo jenga na pesa zake lakini nyumba
za kibinafsi,,,,,he he he, either yeye ni mlevi sana hata akawa,, rais wakenya,, hilo
haliwezekani.
Na likiwezekana,,basi wenye manyumba wana uwezo wakubadilisha na kuzifanyia
biashara zingine na kumwachia bw Odinga hio biashara ya manyumba.
Kenya ni,,,capitalism,,,mr Odinga,,, and will never go socialism,,wake up
and live,,sir.
Hizo ni ndoto tuu.