Ndiyo tuna watch TV za Kenya amjui tz inawatunzieni amani mkichapana tunakuja kuwa chapa na jwtz ila kwajinsi mlivyo tufanyia dharau lazima mkichapana tuwaache kidogo mnyoshane[emoji111]smh!!.....theresa may didnt show up for Englands Debate .....pili MK254 ni pro Uhuru Sioni haja ya Kumtag ....Tatu....kumbe Tanzania mnawatch TV ya Kenya .....hapa no one does at all....we didnt even realise there was a trade war [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa baba .....ukimaliza ndoto yako amka unusie Coffee ya 3bn$ defense expenditure ya Kenya Against 560mn$ ya TZ ....njooni ...tuta wanyorosha alafu tujenge pipeline ya gesi tuwaongoze mpaka tuwe Developed ndio mtatiii...anyway cant wait for TZ to do some stupid clusterfuck action that will prompt colonization!!--since beginning of time Neighbouring Nations Make The Worst enemies its only a matter of timeNdiyo tuna watch TV za Kenya amjui tz inawatunzieni amani mkichapana tunakuja kuwa chapa na jwtz ila kwajinsi mlivyo tufanyia dharau lazima mkichapana tuwaache kidogo mnyoshane[emoji111]
Msingi wa jwtz ulijengwa kupigana na jeshi lenye nguvu kutuzidi na kulishinda ndo mana tulitoa mafunzo kwa vikosi vya wapigania Uhuru mm naionea fahari hiyo bajeti ndogo mana inauwezo wa kupiga jeshi lenye bajeti ya $20BilSawa baba .....ukimaliza ndoto yako amka unusie Coffee ya 3bn$ defense expenditure ya Kenya Against 560mn$ ya TZ ....njooni ...tuta wanyorosha alafu tujenge pipeline ya gesi tuwaongoze mpaka tuwe Developed ndio mtatiii...anyway cant wait for TZ to do some stupid clusterfuck action that will prompt colonization!!--since beginning of time Neighbouring Nations Make The Worst enemies its only a matter of time
USA- Russia
USA- Japan (1945)
Japan- Australia
Ukraine-Russia
France Germany 1820-1950
Mexico USA war
Palestine Israel
North South Korea
Morocco Western Saharawi
West East Germany 1970
Cant wait ......mtajidanganya ..lakini ile siku mtaiguza Kenya Mtaimba kwa Lugha zenu za Kiafrika ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana mdogo acha uchocheziNajaribu kupata picha mdahalo kama huo 2020 hapa kwetu na wamesimama Magufuli na Lissu sijui itakuwa vipi?
Watu wale wale ......![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Watu wale wale waliomsifia mtu flani kuwakimbia BBC asihojiwe ndio walewale wanaomsema Uhuru.....
Sisi Tunawatch TV stations za Dunia nzima..smh!!.....theresa may didnt show up for Englands Debate .....pili MK254 ni pro Uhuru Sioni haja ya Kumtag ....Tatu....kumbe Tanzania mnawatch TV ya Kenya .....hapa no one does at all....we didnt even realise there was a trade war [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umemjibu huyo dogo ni mjinga sana, comment yake ni ya kitoto sana na inafanya watu tuone Jamii ya wakenya wengi ni Vilaza kama huyu.Kenyans wanawachukia watanzania with no reasons. Lakini kiuhalisia wanatamani sana kuwa watz that's why mt.kilimanjaro, serengeti nk wanasema ni vyao. Huu mwaka kila mgombea anajiasibu na Magufuli mwisho watasema ni raisi wao.
By the way watu wana watch CNN, BBC na SKY tukimiss vita, mapigano, ukabila, wanaume wanaopigwa na wake zao, pombe za kienyeji na watu wenye sura mbaya ndo tunaangalia media zenu
Usiniite bwana mdogo wakati nataka nijiunge ACT nami nigombee maana naona mpaka kufikia wakati huo viongozi wote watakuwa wameshapata viajira ndani ya serikali na kukosa mgombea.
Thubutu haitatokea kamwe tena hiyo tv itakayoleta Hilo wazo itapigwa pin kabisaNajaribu kupata picha mdahalo kama huo 2020 hapa kwetu na wamesimama Magufuli na Lissu sijui itakuwa vipi?
Acha ujinga wewe. Unasema Watu wanasura mbaya Kwan wamejiumba sasa. Heshimu binadam wenzio banaKenyans wanawachukia watanzania with no reasons. Lakini kiuhalisia wanatamani sana kuwa watz that's why mt.kilimanjaro, serengeti nk wanasema ni vyao. Huu mwaka kila mgombea anajiasibu na Magufuli mwisho watasema ni raisi wao.
By the way watu wana watch CNN, BBC na SKY tukimiss vita, mapigano, ukabila, wanaume wanaopigwa na wake zao, pombe za kienyeji na watu wenye sura mbaya ndo tunaangalia media zenu
magufuli hawezi kutokezaNajaribu kupata picha mdahalo kama huo 2020 hapa kwetu na wamesimama Magufuli na Lissu sijui itakuwa vipi?
Tanzania tuna mambo ya kujifunza Toka KenyaUnajua siasa zikifanywa na watu wanaoelewa zinakua nzuri sana. Mimi sio mkenya ila kwa haraka haraka tuu nikiangalia uongozi wa Uhuru Kenyatta na kazi alizofanya, sisiti kutamka kwamba jamaa amezaliwa kuongoza na baba yake alimlea aje kuongoza. Haihitaji kujua kusoma kuona maendeleo makubwa yaliyotokea kenya. Cha muhimu wakenya wachangamane waachane na ukabila watafika ilipo china ndani ya karne moja tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana masikio yako yanatumika kuzalishia mimba.Raila Odinga alipewa wakati huo wote aseme kile kipya angefanyia Kenya lakini hakufaulu.
smh!!.....theresa may didnt show up for Englands Debate .....pili MK254 ni pro Uhuru Sioni haja ya Kumtag ....Tatu....kumbe Tanzania mnawatch TV ya Kenya .....hapa no one does at all....we didnt even realise there was a trade war [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
I love the game, Raila and Uhuru are playing to poor Kenya's!I love the game Raila and Uhuru is playing to poor Kenya's!