Kenya 2022 Uhuru Kenyatta atangaza kumuunga mkono Raila Odinga nasi Tanzania tumuombee Tundu Lissu amuunge mkono Rais Samia 2025!

Kenya 2022 Uhuru Kenyatta atangaza kumuunga mkono Raila Odinga nasi Tanzania tumuombee Tundu Lissu amuunge mkono Rais Samia 2025!

Kenya 2022 General Election
Siasa siyo uadui.

Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.

Siasa siyo uadui bwashee

Siasa ni mipango.

Maendeleo hayana vyama!
Siasa za wenzetu wengi zimezidi uwezo wetu mbaaali Sana, anayebisha afanye kama anajikuna popote alipo tumwoone.
 
Lissu ni muelewa na atafata mfano mzuri wa Kenyata.
 
Odinga asijekuwa tu anachezewa picha.

Maana Ruto na Uhuru walikuwa marafiki wakubwa na washirika,

Ghafla tu wametofautiana na Uhuru kahamia kambi ya Odinga.

Odinga anaweza jikuta katika wakati mgumu sana.
 
Tundu Lissu na Samia ni kitu kimoja wote Bosi wao ni mmoja, bora hata ungesema Mbowe angalau ana utu kuliko hao!
 
Siasa siyo uadui.

Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.

Siasa siyo uadui bwashee

Siasa ni mipango.

Maendeleo hayana vyama!

Odinga kakimbia nchi?
Odinga kapigwa risasi?
Odinga kaitwa gaidi?
Odinga anashitakiwa na serikali ya Kenya?
Kenya wana katiba mpya
Kenya wana tume huru
Kenya kampeni ruksa

Maendeleo hayana chama! Sasa hayo madudu hapo ni maendeleo? Vitendo ni muhimu kuliko kuongea
 
Samia alishasema atapewa urais na wanawake wenzake na ndio hao wakumuunga mkono.
 
Siasa siyo uadui.

Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.

Siasa siyo uadui bwashee

Siasa ni mipango.

Maendeleo hayana vyama!
Siasa sio uadui kwa nchi gani?
 
Back
Top Bottom