Mfano wako sioooo kabisa,ni chama tawala kuunga mkono upinzani sasa hapo Lissu anaingiaje mkuu???itakapofika 2025 Samia amuunge mkono Lissu.Siasa siyo uadui.
Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!