Kenya 2022 Uhuru Kenyatta atangaza kumuunga mkono Raila Odinga nasi Tanzania tumuombee Tundu Lissu amuunge mkono Rais Samia 2025!

Kenya 2022 Uhuru Kenyatta atangaza kumuunga mkono Raila Odinga nasi Tanzania tumuombee Tundu Lissu amuunge mkono Rais Samia 2025!

Kenya 2022 General Election
Siasa siyo uadui.

Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.

Siasa siyo uadui bwashee

Siasa ni mipango.

Maendeleo hayana vyama!
Mfano wako sioooo kabisa,ni chama tawala kuunga mkono upinzani sasa hapo Lissu anaingiaje mkuu???itakapofika 2025 Samia amuunge mkono Lissu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Bora ya odinga kuliko Ruto, Ruto ni primitives pia ni dictator kama Moi type ataleta machafuko
 
𝐬𝐢𝐚𝐬𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐮𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐬𝐮𝐚𝐥𝐚 𝐧𝐢 𝐮𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚
 
Siasa siyo uadui.

Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.

Siasa siyo uadui bwashee

Siasa ni mipango.

Maendeleo hayana vyama!
Hata akili huna, kwanini usiseme Samia amwunge mkono Lissu?
 
Siasa siyo uadui.

Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.

Siasa siyo uadui bwashee

Siasa ni mipango.

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe una kicxhaa of some sort! I expect sense from your writings! Unamuunga mkono human rights crusher? Anafunga watu kisa madaraka? Umelogwa na Mgaya naona.
 
Siasa siyo uadui.

Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.

Siasa siyo uadui bwashee

Siasa ni mipango.

Maendeleo hayana vyama!
Nadhani in this context,. Samia ndio atangaze kumuunga mkono Tundu lisu.
 
Siasa siyo uadui.

Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.

Siasa siyo uadui bwashee

Siasa ni mipango.

Maendeleo hayana vyama!
Kwanini Samia asitangaze kumuunga mkono Lissu. Coz Kenyatta yuko madarakanana muunga mkono ambaye hajawahi kuwa rais?.
 
Back
Top Bottom