Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Mama amuunge mkono Lissu akae pembeni kwanza nadhani hakuwahi kuwa na ndoto za kuwa rais ni umemuangukia tu ampishe Lissu 2025.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni kansa ya taifa.Siasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo Ukweli WenyeweNakazia
Yaani wewe bado tu unamuamini Lissu?
Siasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Nyinyi makamanda uchwara akili zenu mnazijuaga wenyewe wallahi...tunataka MTANGANYIKA.
Odinga odinga Hana bahati alisalitiwa na Moi akasalitiwa na Kibaki labda tuone hii itakuajeOdinga asijekuwa tu anachezewa picha.
Maana Ruto na Uhuru walikua marafiki wakubwa na washirika,
Ghafla tu wametofautiana na Uhuru kahamia kambi ya Odinga.
Odinga anaweza jikuta katika wakati mgumu sana.
Wabongo bhana! Ndo maana tunaambiwa “system” ndiyo inaamua na siyo wananchi.Tundu lisu na Samia ni kitu kimoja wote Bosi wao ni mmoja, bora hata ungesema Mbowe angalau ana utu klk hao!
Kwani “system” ni kitu gani zaidi ya tabaka tu linalolinda maslahi yao wao binafsi.Namshangaa. System ishamkataa. Hatokaa. Kwanza anaweza ishi huko milele.
Mbona gazeti la uhuru lilishatangaza!
Yaani Kingai na Pinda wamkatae Lissu halafu ndio tufuate huo utopolo!Namshangaa. System ishamkataa. Hatokaa. Kwanza anaweza ishi huko milele.
na atabisha hadi shetani aondokeLissu ni binadamu mbishi sana...
Usimfananishe Kenyata na vitu vya ajabu ajabu kama vya Lumumba.Siasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Una maana mr #dishlimetilt afikiriwe kuwa Rais?Siasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo umeongea kinyume na huo mfano wakoSiasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Karibu ndugu , habari ya kupoteaYaani wewe bado tu unamuamini Lissu?
%90 ya wanachukua chako mapema dish zao zimetilt sijui kama unakosaamo. 🤔Una maana mr #dishlimetilt afikiriwe kuwa Rais?