johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siasa za wenzetu wengi zimezidi uwezo wetu mbaaali Sana, anayebisha afanye kama anajikuna popote alipo tumwoone.Siasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani alishafuata mfano mbaya, au wafuata mifano mibaya ndio walio mbambikia ni mbaya. Hata kuwaza kumdhuru 🤔.Lisu ni muelewa na atafata mfano mzuri wa Kenyata.
Na vipi mama yetu nae atangaze kumuunga mkono Lissu 2025 afu nao watamfikiria 2035?Siasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Ccm imeiletea LAANA TanzaniaSiasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani wewe bado tu unamuamini Lissu?..2025 Samia asigombee na atangaze kumuunga mkono Lissu.
Namshangaa. System ishamkataa. Hatokaa. Kwanza anaweza ishi huko milele.Yaani wewe bado tu unamuamini Lissu?
Hahahaaaa....... Watu wana roho ngumu sana!Yaani wewe bado tu unamuamini Lissu?
Siasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
NakaziaNi Kupungukiwa Akili KukubwA Sana Ndugu Zangu
By Mzilankende Mnyango
Siasa sio uadui kwa nchi gani?Siasa siyo uadui.
Tundu Lisu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!