Uhuru Kenyatta atembelea Nyota ya Magufuli kujaribu kupambana narushwa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Katika hali inayoonyesha Uhuru Kenyatta kumkubali na kuhusudu utendaji kazi wa rais Magufuli, ameamua kuiga yale yote alitofanya Magufuli katika kupambana na rushwa na uzembe katika serikali yake.

Itakumbukwa kwamba katika kipindi cha kampeni wa uchaguzi huko Kenya, wanasiasa wengi walitumia jina la Magufuli na kuahidi kwamba endapo wangechaguliwa, basi wangefanya kama Magufuli.

Akiwa Machakosi, Uhuru Kenyatta akiwa na shauku kuonyesha kwamba anaanza kufanikiwa kupigana na ufisadi, amesema wameanza zoezi la kutafuta watumishi hewa serikalini na hadi sasa hivi wameshawagundua zaidi ya 5000.

Tukumbuke kwamba, Mara tu baada ya kuingia madarakani, Magufuli alianza hizi kampeni za watumishi hewa na wenye vyeti feki, ila kwa UhuruKenyatta imemchukua zaidi ya miaka saba, hii inamaana kwamba alikua hajui kama kuna hilo tatizo katika serikali yake?, kama sio Magufuli, huenda angemaliza miaka yake kumi na kuondoka bila kulishughulikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Machakosi ni wapi?

Kama kweli magu anapiga vita ufisadi mwambieni asimame na CAG watanzania sio wajinga sana
 
Wapuuzi nyie nzi wa kipara wa chalte yaani hili fisadi linaogopa kukaguliwa na CAG ndio liwe mfano?

ghost workers pia hta ma gavana wanafanya kazi hyo ya kuwatafuta...so si kitu cha ajabu..
 
CAG kazi yake ni kutukana na kudhalilisha bunge? Msomi kama huyu amekosa busara hivi?
mtu kusema kitu fulani kina udhaifuu ni matusi...bwahahaaaaaaa...kumbe hata wewe uko katika hyo ishu ya kusema udhaifu wa kitu flani ni matusi...duh...kisha huaga mwajifanya waelewa kumbe ni bendera kufuata upepo..vile wakulu wenu wamesema kuambiwa bunge lao lina udhaifu ni matusi na wewe pia unaendeleza sera mpaka mitandaoni....

kila kitu kwako ndiooooo
 
Sasa unataka rais afanye nini kama bunge limekataa kushirikiana na CAG, alilazimishe bunge, au alivunje bunge ili turudie uchaguzi mpya?.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbna kuteua na kutengua anaweza...au anaogopa kisa kaona movie la kwanza la korosho halikulipa vizuri...akaona ni hasara tu u shoot ya pili...
 
Bahati mbaya sana wewe uelewa wako ni mdogo sana hapa JF, unatulazimisha tujishushe sana ili tuweze kuendana na wewe, ila hatutachoka tutaendelea kukubeba hadi utakomaa.

Huyo jamaa amesema anataka Magufuli awe upande wa CAG, sasa nikamuuliza afanye nini akiwa upande wa CAG, kwasababu hawezi kulilazimisha bunge kufanya kazi by force, anachoweza kufanya kwa mujibu wa katiba ni kulivunja bunge kama ameona limeshindwa kufanya kazi.

Wewe unaleta habari za kutengua, sasa unataka amtengue CAG, akifanya hivyo atakua amekua amemsaidia CAG au Binge?. Kwa taarifa yako, kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, rais ana uwezo wa kumteua CAG, lakini hana uwezo wa kumuondoa, kama ilivyo kwa majaji wa MAHAKAMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ghost workers pia hta ma gavana wanafanya kazi hyo ya kuwatafuta...so si kitu cha ajabu..
Havana haha, mumeanza kuwaona ghost workers, baada ya Magufuli sio?, Seven years on power, Uhuru alikua hajui kwamba alikua anafanya kazi na ghost workers na kwamba alikua anapoteza kiasi cha pesa nyingi kiasi hicho, anakumbuka kujifunika shuka wakati kumeshapambazuka, mbu wameshashiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda magu ndio kaiga kwa nagavana wa kenya...huyo amfikie gavana wa machakos kwanza ndio uje hapa ukenue meno...duh...mutua kafanya hvo vitu miaka sita iliyopita...we unakuja kumsifia mtu ambaye kalewa madaraka...

kwanza ameshafanyiwa ile operation ya ubongo..maana kakiri km yeye ni chizi
 
Bahati mbaya sana wewe uelewa wako ni mdogo sana hapa JF, unatulazimisha tujishushe sana ili tuweze kuendana na wewe, ila hatutachoka tutaendelea kukubeba hadi utakomaa.
Huyo jamaa amesema anataka Magufuli awe upande wa CAG, sasa nikamuuliza afanye nini akiwa upande wa CAG, kwasababu hawezi kulilazimisha bunge kufanya kazi by force, anachoweza kufanya kwa mujibu wa katiba ni kulivunja bunge kama ameona limeshindwa kufanya kazi.
Wewe unaleta habari za kutengua, sasa unataka amtengue CAG, akifanya hivyo atakua amekua amemsaidia CAG au Binge?. Kwa taarifa yako, kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, rais ana uwezo wa kumteua CAG, lakini hana uwezo wa kumuondoa, kama ilivyo kwa majaji wa MAHAKAMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
naona sasa nimeelewa vizuri km hyo hela ccm walikula ....mbna ishu ya accacia na korosho alizama mzima mzima lkn hili swala kafunga bakuli na wakati hapa jf mnaimba eti magu hapendi ujinga...

hyo hela kaiba ndio manake katia mkia nyuma...kimyaa...sijui mganga kamwambia km kaiba kweli asijihusishe na hyo ishu...manake alivyokuwa kichaa...angelikuwa amesha tumbua watu..tatizo haez kujitumbua ..wachezea kitanzi wewe...
 
labda magu ndio kaiga kwa nagavana wa kenya...huyo amfikie gavana wa machakos kwanza ndio uje hapa ukenue meno...duh...mutua kafanya hvo vitu miaka sita iliyopita...we unakuja kumsifia mtu ambaye kalewa madaraka...

kwanza ameshafanyiwa ile operation ya ubongo..maana kakiri km yeye ni chizi
Hahahahaha, Mutua Kilonzo kafanya miaka sita iliyopita, ila Uhuru ndio amestukia sasa hivi na kuona ni jambo nzuri na ameamua kulifuatilia kwa nguvu baada ya kumuona Magufuli.

Uhuru tangu aanze hili zoezi ameshakamata ghost workers zaidi ya 5000, na ametangaza pesa alizokwishaokoa. Tafadhali tuletee ushahidi Mutua alikamata ghost workers wangapi na aliokoa kiasi gani?, wewe ni mwongo mkubwa, hakuna na Mutua wala nani, hili zoezi hapa Africa mwanzilishi wake ni Magufuli, wengine wanaharibu kumuiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona sasa nimeelewa vizuri km hyo hela ccm walikula ....mbna ishu ya accacia na korosho alizama mzima mzima lkn hili swala kafunga bakuli na wakati hapa jf mnaimba eti magu hapendi ujinga...

hyo hela kaiba ndio manake katia mkia nyuma...kimyaa...sijui mganga kamwambia km kaiba kweli asijihusishe na hyo ishu...manake alivyokuwa kichaa...angelikuwa amesha tumbua watu..tatizo haez kujitumbua ..wachezea kitanzi wewe...
Nimekuambia wewe akili yako ipo Kibera, rais hana mamlaka ya kumtengua CAG, anachoweza kufanya ni kulivunja bunge ili ufanyike uchaguzi mpya, huko kwengine kote ulikokutaja anamlaka nako. Kama angekua na mamlaka ya kumtegua CAG, siku nyingi ungesikia ameshamuweka pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom