Uhuru Kenyatta atumia jeshi baada ya mgomo wa wafanyakazi JIA, lakini akitumia Rais Magufuli hapa kwetu ni dikteta!

NI KWELI NINA RAFIKI YANGU MJEDA YUPO,JNIA,
 
Korosho Ilikuwa ni emergency au usalama kama ilivyofanyika Kenya?
Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 

Mkuu udikteta hauangaliwi kwenye jambo moja pekee. Kumbuka maridhiano ya Uhuru na upinzani, ruksa Kenya ya migomo, maandamano, mikutano, yaani right of assembly, expression nk.

Angalia harassment ya wapinzani kwa Magufuli ukilinganisha na kwa Kenyatta.

Bado tunayo safari ndefu.
 
Uko sahihi,ila sio viwanja vyote duniani vina attachment ya jeshi,nchi zilizoendelea na ambazo ni tulivu kisiasa ni local polisi tu na mafisa usalama wachache wanaosimamia usalama kiwanjani
Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Mruhusu wafanyakazi ambao hawajaongezwa mishahara wagome kama Kenya halafu mpeleke jeshi kuchukua nafasi zao
Lissu ana maoni gani?

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Ni nchi pumbavu pekee ambayo itakuwa haina workforce mbadala kukitokea tatizo, hivi hujiulizi madaraja yakiharibika kwa nini jwtz wanaenda kuweka ya dharura , tusidharau majeshi wala usidhani wanakula na kulala bure kukiwa hamna vita
 
Uko sahihi,ila sio viwanja vyote duniani vina attachment ya jeshi,nchi zilizoendelea na ambazo ni tulivu kisiasa ni local polisi tu na mafisa usalama wachache wanaosimamia usalama kiwanjani

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
Kwenye suala la Operation ni kweli wameachiwa watu binafsi,kwa mfano Amsterdam wapo kampuni binafsi tu,lakini jeshi lipo kwa maana ya kusikilizia lolote litakalotokea.Uwanja ni kama mpaka,hauwezi ukaachwa bila jeshi mkuu.
 
Tumia jeshi kwa akili basi hasa pale ambapo hakuna alternative siyo kila jambo ni la kutumia jeshi.
 
Asante mkuu barafu kwa ufafanuzi wako mzuri, wengi tumekuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
Hiii ni ngumu sana kumeza!
 
Katumia KDF kufanya kazi Professional na sio kupiga watu na kubangua Koroshow
See the difference

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Mbona huko nyuma Tanzania ilishatumia jeshi wakati wa migomo ya madaktari.... Hii ya kudomba na kubangua KORO SHOW... Ndiko lilikuwa na question marks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…