Uhuru Kenyatta atumia jeshi baada ya mgomo wa wafanyakazi JIA, lakini akitumia Rais Magufuli hapa kwetu ni dikteta!

Umesomeka
 
Umepptosha mkuu, Kenyatta hajapiga marufuku shughuli za kisiasa, pia hajabambikia wapinzani kesi km jiwe
 
Ha ha ha du ! Ukweli gani hapo ? Haha wewe ndio allen kilewela multiple id , pole sana hahaha, Du !

Umeambiwa kuwa kutumia jeshi kuwalazimisha waliogoma kufanya kazi ni udikteta ukajitekenya, baada ya kucheka nakuambia umeambiwa ukweli bado unajitekenya... kama unataka kujadiliana na allen kilewela peke yake mfuate nyumbani kwake akakutekenye.
 
Upday kila mara inaupdate matukio ya kiovu tu Uk!
 
Mbona viwanja vyote vikubwa Tanzania kuna wanajeshi kibao tu ,sema hawavai uniform hivyo ukimkuta kale kadada kanakugua na Metal detector usimdharau aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeambiwa kuwa kutumia jeshi kuwalazimisha waliogoma kufanya kazi ni udikteta ukajitekenya, baada ya kucheka nakuambia umeambiwa ukweli bado unajitekenya... kama unataka kujadiliana na allen kilewela peke yake mfuate nyumbani kwake akakutekenye.
Hahaha mfuate yeye unaekazia maneno yake , mutiple id .
 
U
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…