Ha ha ha du ! Ukweli gani hapo ? Haha wewe ndio allen kilewela multiple id , pole sana hahaha, Du !Unaambiwa ukweli wewe unajitekenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha du ! Ukweli gani hapo ? Haha wewe ndio allen kilewela multiple id , pole sana hahaha, Du !Unaambiwa ukweli wewe unajitekenya.
UmesomekaMkuu mleta mada,labda tu hujui.Pale JNIA kitengo cha Usalama na Ukaguzi wale unaowaona karibu 75% ni wanajeshi toka JWTZ,tofauti ni kuwa wale hawavai sare za JWTZ lakini wengi ni wanajeshi walioazimwa toka jeshini.Hivyo hata kabla ya wewe kusema,tayari pale JNIA kuna wanajeshi kuanzia kitengo cha Usalama na Ukaguzi,Waongoza ndege na hata nasikia waegesha ndege.
Pale JNIA pia huwa kuna kitengo cha kutegua mabomu,na hiki kiliimarishwa zaidi baada ya mashambulio ya Ugaidi,na wapo pale kwa masaa 24 ili kukabiliana na tatizo lolote linalohusu tishio la bomu eneo la kiwanja.Pia kuna patrol ya masaa 24(hii sina hakika kama bado ipo mpaka leo),hawa nao ni JWTZ,wanaofanya "patrol" pale uwanjani kuzunguka eneo lote kwa masaa 24.
Kwa hiyo hata kabla ya aina hiyo ya rabsha ya JOMO KENYATA sisi tulishakuwa na JWTZ katika kiwanja chetu na wanafanya kazi kwa ufanisi mkubwa.Kifupi kiwanja bila "attachment" ya jeshi ni sawa na nyumba bila komeo,walichofanya Kenya leo ni kuleta tu wenye uniform,ambao sisi Tz tayari tunao ili ni vile tu huwa hawavai uniform
Umepptosha mkuu, Kenyatta hajapiga marufuku shughuli za kisiasa, pia hajabambikia wapinzani kesi km jiweJeshi Ni chombo cha usalama ambacho hutumika kukiwa na emergency sababu huwa muda wote lipo tayari na kwa mara nyingi hapa kwetu Rais wetu amekuwa akilitumia mara kwa mara punde kunapotokea emergency yoyote, na huwa analiamini kwa kufanya shughuli kwa ufanisi, haraka na kwa gharama sawa na bure.
Leo jirani yetu Kenya kumetokea mgomo wa wafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta akaamuru KDF kuingilia kati kwa kufanya shughuli zote baada ya wafanyakazi kugoma.
je, katumia busara kulitumia jeshi badala ya kukaa na wafanyakazi waliogoma na kumaliza mgomo wao?
Kwetu hapa malalamiko haya yangekuwepo watu wagome na Rais aamuru jeshi kunusuru hii hali angeandikwa ni DIKTETA hilo halina ubishi.
Je, ingekuwa hapa kwetu stori zingekuwaje make huwa kuna malalamiko kwa kutumia jeshi kila wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafuatilia siasa za kenya jamani ? Au mko kufuraisha genge jamani? Ufipa bana , kaazi kweli.Umepptosha mkuu, Kenyatta hajapiga marufuku shughuli za kisiasa, pia hajabambikia wapinzani kesi km jiwe
Ha ha ha du ! Ukweli gani hapo ? Haha wewe ndio allen kilewela multiple id , pole sana hahaha, Du !
Upday kila mara inaupdate matukio ya kiovu tu Uk!Wanajeshi wana uwezo wa kila kitu
Ni sawa kabisa naunga mkono
Hata fire walipogoma UK wanajeshi walitumiwa
Wanajeshi wapo kwa kazi zote kama watahitajika sio kupigana tu hata uokoaji huwa wanatumika sana na hata kwenye mafuriko.
Watoto wanauana sana Uingereza na police wameshindwa kudhibiti sasa wanataka jeshi liingie mtaani
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Goma wewe basikulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
Nieleweshe tenaUpday kila mara inaupdate matukio ya kiovu tu Uk!
Hahaha mfuate yeye unaekazia maneno yake , mutiple id .Umeambiwa kuwa kutumia jeshi kuwalazimisha waliogoma kufanya kazi ni udikteta ukajitekenya, baada ya kucheka nakuambia umeambiwa ukweli bado unajitekenya... kama unataka kujadiliana na allen kilewela peke yake mfuate nyumbani kwake akakutekenye.
nilishagoma nilivyokuwa chuo sasa siwezi goma kwakuwa nipo katikati ya maiti. kisha mm ni muuza genge nafanya mambo yangu sio mtumiahi wa umma
Jeshi Ni chombo cha usalama ambacho hutumika kukiwa na emergency sababu huwa muda wote lipo tayari na kwa mara nyingi hapa kwetu Rais wetu amekuwa akilitumia mara kwa mara punde kunapotokea emergency yoyote, na huwa analiamini kwa kufanya shughuli kwa ufanisi, haraka na kwa gharama sawa na bure.
Leo jirani yetu Kenya kumetokea mgomo wa wafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta akaamuru KDF kuingilia kati kwa kufanya shughuli zote baada ya wafanyakazi kugoma.
je, katumia busara kulitumia jeshi badala ya kukaa na wafanyakazi waliogoma na kumaliza mgomo wao?
Kwetu hapa malalamiko haya yangekuwepo watu wagome na Rais aamuru jeshi kunusuru hii hali angeandikwa ni DIKTETA hilo halina ubishi.
Je, ingekuwa hapa kwetu stori zingekuwaje make huwa kuna malalamiko kwa kutumia jeshi kila wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUU
Utawaweza watanzania!