misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu awatie mimba ndiyo hicho kichefuchefu chenu kitawatoka [emoji107]
Wewe ni maiti?mbona ufipa hamjengi ofisi lakini unazungusha mikono?kulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
Jeshi linakuwa tayari kufanya kazi ambazo vitengo vingine vimeshindwa. Je, Korosho zilishindwa kununulwa na mashirika husika?Kwa hiyo wanunuzi wa korosho au walimaji wa korosho waligoma??
Jeshi kutumika kukagua maduka ya kubadilishia fedha na kuyafunga hao wamiliki wa hayo maduka walipewa notice wakagoma??
Bora kenyata anasababu za msingi kuliko Magufuli kwa sababu korosho ameshapata zero.
kaishi kenya au uganda uyaone usikurupuke tukulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
Afu kuna watu wamelikekulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
Kabla ya kuandika jambo sensitive kama ulivyofanya inatakiwaJeshi Ni chombo cha usalama ambacho hutumika kukiwa na emergency sababu huwa muda wote lipo tayari na kwa mara nyingi hapa kwetu Rais wetu amekuwa akilitumia mara kwa mara punde kunapotokea emergency yoyote, na huwa analiamini kwa kufanya shughuli kwa ufanisi, haraka na kwa gharama sawa na bure.
Leo jirani yetu Kenya kumetokea mgomo wa wafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta akaamuru KDF kuingilia kati kwa kufanya shughuli zote baada ya wafanyakazi kugoma.
je, katumia busara kulitumia jeshi badala ya kukaa na wafanyakazi waliogoma na kumaliza mgomo wao?
Kwetu hapa malalamiko haya yangekuwepo watu wagome na Rais aamuru jeshi kunusuru hii hali angeandikwa ni DIKTETA hilo halina ubishi.
Je, ingekuwa hapa kwetu stori zingekuwaje make huwa kuna malalamiko kwa kutumia jeshi kila wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi hata ile akili ndogo tu ya kutwazia huwa haioni namna nyingine.ya kufikiria kidongo mbali na kutawaza?ok hivi kwetu wakulima wa korosho waligoma au nyinyi ndo mmewazuia wafanya biashara kwa lengo la kuwakomoa wao na badala yake mmejikuta walioumia ni wakulima..jeshi kutoa msaada kama wa kitabibu au kujenga madaraja au kuongoza ndege au kwenda kuzima moto au kwenda kuokoa meli iliyozama kazi zote zilizotekea gafla bila kuwa na infuluence za kiongozi wa kisiasa dharura yoyote ile jeshi hutumika..hapo kwenye korosho na maduka ya kunadilishia pesa sio dharura hizo tunayatengeneza kitaalam ilibidi itatuliwe na waliotengeneza sio jeshi..ona sasa jeshi letu limeshindwa kubangua korosho kwa meno mmelidhalilisha jeshi na tqifa letu maana limeshindwa kazi lingefanikiwa sawaJeshi Ni chombo cha usalama ambacho hutumika kukiwa na emergency sababu huwa muda wote lipo tayari na kwa mara nyingi hapa kwetu Rais wetu amekuwa akilitumia mara kwa mara punde kunapotokea emergency yoyote, na huwa analiamini kwa kufanya shughuli kwa ufanisi, haraka na kwa gharama sawa na bure.
Leo jirani yetu Kenya kumetokea mgomo wa wafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta akaamuru KDF kuingilia kati kwa kufanya shughuli zote baada ya wafanyakazi kugoma.
je, katumia busara kulitumia jeshi badala ya kukaa na wafanyakazi waliogoma na kumaliza mgomo wao?
Kwetu hapa malalamiko haya yangekuwepo watu wagome na Rais aamuru jeshi kunusuru hii hali angeandikwa ni DIKTETA hilo halina ubishi.
Je, ingekuwa hapa kwetu stori zingekuwaje make huwa kuna malalamiko kwa kutumia jeshi kila wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi we una akili kweli?! Wafanyakazi wa airport, sasa wewe ulitarajia abiri wasihudumiwe?! Alichofanya Kenyatta kinafanyika duniani kote! At the time of emmergency, jeshi linaenda kufanya kazi za kiraia kwa kutoa huduma mbalimbali, na ndicho kimetokea pale airport! Kwamba, jamaa wameweka silaha chini wakaingia kaunta kuhudumia wateja!!Leo jirani yetu Kenya kumetokea mgomo wa wafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta akaamuru KDF kuingilia kati kwa kufanya shughuli zote baada ya wafanyakazi kugoma.
Kwetu hapa malalamiko haya yangekuwepo watu wagome na Rais aamuru jeshi kunusuru hii hali angeandikwa ni DIKTETA hilo halina ubishi.
Je, ingekuwa hapa kwetu stori zingekuwaje make huwa kuna malalamiko kwa kutumia jeshi kila wakati.
Sababu za mcng za Uhuru ni zipi?Nachojua bavicha chochote afanyacho Kenyata ni dhahabu na afanyacho jpm ni kibaya hata kama vinalingana.Kwa hiyo wanunuzi wa korosho au walimaji wa korosho waligoma??
Jeshi kutumika kukagua maduka ya kubadilishia fedha na kuyafunga hao wamiliki wa hayo maduka walipewa notice wakagoma??
Bora kenyata anasababu za msingi kuliko Magufuli kwa sababu korosho ameshapata zero.
Kulikua na umuhim wa kuleta wenye uniform?Kama ni walewale kwanini wasingevaa kama wanavyovaa siku zote?Ingekua Tanzania si tungesema jamaa anawatisha wananchi na porojo kibao sana?Mkuu mleta mada,labda tu hujui.Pale JNIA kitengo cha Usalama na Ukaguzi wale unaowaona karibu 75% ni wanajeshi toka JWTZ,tofauti ni kuwa wale hawavai sare za JWTZ lakini wengi ni wanajeshi walioazimwa toka jeshini.Hivyo hata kabla ya wewe kusema,tayari pale JNIA kuna wanajeshi kuanzia kitengo cha Usalama na Ukaguzi,Waongoza ndege na hata nasikia waegesha ndege.
Pale JNIA pia huwa kuna kitengo cha kutegua mabomu,na hiki kiliimarishwa zaidi baada ya mashambulio ya Ugaidi,na wapo pale kwa masaa 24 ili kukabiliana na tatizo lolote linalohusu tishio la bomu eneo la kiwanja.Pia kuna patrol ya masaa 24(hii sina hakika kama bado ipo mpaka leo),hawa nao ni JWTZ,wanaofanya "patrol" pale uwanjani kuzunguka eneo lote kwa masaa 24.
Kwa hiyo hata kabla ya aina hiyo ya rabsha ya JOMO KENYATA sisi tulishakuwa na JWTZ katika kiwanja chetu na wanafanya kazi kwa ufanisi mkubwa.Kifupi kiwanja bila "attachment" ya jeshi ni sawa na nyumba bila komeo,walichofanya Kenya leo ni kuleta tu wenye uniform,ambao sisi Tz tayari tunao ili ni vile tu huwa hawavai uniform
kulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
Si aliwataja au kuna wengine tena?Maoni yake ni kwamba kuna watu wanajua waliotaka kumuua lakini wanajifanya hawawajui!!
Yaani kuna mambo ukiyaendekeza unaweza uka palalyse uchumi wa nchi,airport ni mpaka wa nchi,ni sura ya nchi,wakigoma wafanyakazi,ni tatizo kubwa,ila kwa Kenya,mahakama ilikuwa imezuia huo mgomo,Jeshi Ni chombo cha usalama ambacho hutumika kukiwa na emergency sababu huwa muda wote lipo tayari na kwa mara nyingi hapa kwetu Rais wetu amekuwa akilitumia mara kwa mara punde kunapotokea emergency yoyote, na huwa analiamini kwa kufanya shughuli kwa ufanisi, haraka na kwa gharama sawa na bure.