Uhuru Kenyatta awezesha Kenya kuepuka upungufu wa mafuta

Uhuru Kenyatta awezesha Kenya kuepuka upungufu wa mafuta

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya Kenya kukumbwa na Uhaba mkubwa wa Mafuta , jambo lililosababisha foleni ndefu za Magari kwenye vituo vya kuuzia mafuta hayo , Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta ameingilia kati ili kunusuru uchumi wa Kenya kwa kusaini nyongeza ya hela ndefu ili kuokoa hali mbaya iliyokuwa inanyemelea nchi yake.

Hii hapa ndio habari kamili .

View attachment 2175920

Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya .
 
HUKU KWETU KAJAMBA NANI KILA KITU KIMEPANDA KISINGIZIO MAFUTA😭😭😭
Wakenya tumewazidi mbali kwa hilo umeona tuna foleni ya magari popote kituo chochote cha mafuta?

Mleta mada.na wewe hapa nchi yako hata kama huipendi usiipakazie namna hiyo

Ingekuwa Tanzania tuna foleni ungekuwa ohh Tanzania kuna foleni ONA kenya foleni haipo!!!

Siasa zenu za kishamba na kitoto nyie Chadema
 
Kama serikali ya kenya ingekuwa na reserve ya mafuta inge offload kwa retailers kuokoa hali mbaya ya upatikanaji wa mafuta ila for now it seems either Kenyans are at the mercy of petroleum products wholesalers or the procurement arrangements are in shambles. Without government intervention and proper regulation hii hali itakuwa perennial.
 
KWA HIYO ULIKUWA UNAAMINI KUWA KENYA COVID ILIKUWA IMEENEA KAMA WALIVYOKUWA WANATANGAZA??? AFU ACHA KULINGANISHA KENYA NA SISI WALE HATA UMILIKI WA MAGARI KULINGANA NA RAIA WALIOPO RATIO YAO NI KUBWA ZAIDI YETU.

UTAENDELEA KUBEMBELEZA NA KULAMBA MIGUU YA WATAWALA HADI LINI,??? MWAKA WA KUMI HUU HUJATEULIWA HATA KUWA MTENDAJI WA KIJIJI.
 
KWA HIYO ULIKUWA UNAAMINI KUWA KENYA COVID ILIKUWA IMEENEA KAMA WALIVYOKUWA WANATANGAZA??? AFU ACHA KULINGANISHA KENYA NA SISI WALE HATA UMILIKI WA MAGARI KULINGANA NA RAIA WALIOPO RATIO YAO NI KUBWA ZAIDI YETU.

Y
umiliki itu gani twende umiliki wa Ardhi wakenya wengi hawana Ardhi na hawatarajii kuipata
 
Hata Tanzania hakuna mwananchi anayemiliki ardhi!
Unajua maana yake watanzania waweza wanamiliki mashamba vijijini asilimia 80 ya watanzania kenya hakuna hata zipande cha shamba ni mali za watu binafsi Sisi kwetu ni mali ya umma ndio maana mtanzania ukitaka Ardhi iko bwerere kibao Kenya kila unapokanyaga mali ya mtu binafsi tena wachache

Wakenya ni kama wachaga kule uchagani mtu Baki hupati Ardhi ndivyo Kenya kulivyo.Exactly kama uchagani kulivyo kwa maswala ya ardhi
 
Hakuna Mtanzania anayemiliki ardhi bali wamekodisha tu toka kwa Mmiliki, angalau Kenya ukiweza kumudu kununua ardhi, basi ni mali yako na unaimiliki, Tanzania unakodishwa kwa muda maalaumu na ni lazima u-renew muda wa kukodi ukiisha.

Hao wa vijijini hawamiliki hizo ardhi unazozema wamehodhi tu na kesho wanawaweza kuondolewa muda wowote na Mmiliki kupisha Muwekezaji kama Wamasai wanavyoondolewa Ngorongoro na hauwezi kushitaki popote kwa maana Sheria ya ardhi Tanzania mmiliki ni Serikali, hivyo Tanzania huwezi kumiliki ardhi.
 
Uhuru hapo si pa kumsifia, ametengenezq tatizo na anakuja kulitatua.
Huenda yuko term ya mwisho anakusanya asepe
 
Hakuna Mtanzania anayemiliki ardhi bali wamekodisha tu toka kwa Mmiliki, angalau Kenya ukiweza kumudu kununua ardhi, basi ni mali yako na unaimiliki, Tanzania unakodishwa kwa muda maalaumu na ni lazima u-renew muda wa kukodi ukiisha.

Hao wa vijijini hawamiliki hizo ardhi unazozema wamehodhi tu na kesho wanawaweza kuondolewa muda wowote na Mmiliki kupisha Muwekezaji kama Wamasai wanavyoondolewa Ngorongoro na hauwezi kushitaki popote kwa maana Sheria ya ardhi Tanzania mmiliki ni Serikali, hivyo Tanzania huwezi kumiliki ardhi.
Acha urongo. Ni lazima urenew? Fafanua icho kifungu cha sheria mzee.
Akheri mara kumi mfumo wa serikali kuhodhi ardhi.
There are pros and cons to everything buda. Least cons ni serikali kumiliki ardhi.
 
Baada ya Kenya kukumbwa na Uhaba mkubwa wa Mafuta , jambo lililosababisha foleni ndefu za Magari kwenye vituo vya kuuzia mafuta hayo , Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta ameingilia kati ili kunusuru uchumi wa Kenya kwa kusaini nyongeza ya hela ndefu ili kuokoa hali mbaya iliyokuwa inanyemelea nchi yake.

Hii hapa ndio habari kamili .

View attachment 2175920

Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya .
Hamia Kenya kamanda 🐒
 
Na huo ni mkopo yaani serikali imeongeza deficit spending itatotoa unafuu wa mda mfupi ila maumivu yatakuwa pale pale in long run
 
Acha urongo. Ni lazima urenew? Fafanua icho kifungu cha sheria mzee.
Akheri mara kumi mfumo wa serikali kuhodhi ardhi.
There are pros and cons to everything buda. Least cons ni serikali kumiliki ardhi.

Ulishawi kuwa na “hati miliki” ya shamba au kiwanja Tanzania ?
 
Kama serikali ya kenya ingekuwa na reserve ya mafuta inge offload kwa retailers kuokoa hali mbaya ya upatikanaji wa mafuta ila for now it seems either Kenyans are at the mercy of petroleum products wholesalers or the procurement arrangements are in shambles. Without government intervention and proper regulation hii hali itakuwa perennial.
Tatizo sio uhaba wa mafuta, hapa East Africa hakuna nchi iko na reserves level ya Kenya., hilo najua haujui., sisi sio wenzenu kamwe.., usijitekenye😂😂

State to penalize fuel dealers for hoarding as crisis persists​

TUESDAY APRIL 05 2022
kamau

Petroleum PS Andrew Kamau. FILE PHOTO | NMG

The state will fine fuel marketers accused of hoarding petrol and diesel as it released Sh8.2 billion subsidy arrears to petrol retailers to ease nationwide fuel shortage and forestall a crisis.

Petroleum Principal Secretary Andrew Kamau said on Monday that investigations into the shortage were being finalised, setting the stage for financial penalties and licence withdrawals.

He added that the supply hitches that caused the nationwide fuel shortage are expected to ease from Thursday after oil marketers steeped supplies to stations from depots.

“By Thursday we will be back to normal, today we paid Sh8.2 billion to the marketers and since yesterday (Sunday) depots were opened and marketers have been working to refill their stations,” Mr Kamau told the Business Daily.

The marketers are said to have gone slow in evacuating their products from the depots to protest delays in the payment of subsidies to the companies.

The government says it owes the companies Sh13 billion and on Monday released Sh8.2 billion to the dealers, who claim to be owed in excess of Sh20 billion.

ALSO READ​

The respite cannot come soon enough for the frustrated motorists who have formed long queues at petrol stations for days due to the biting shortages.

“This is an artificial shortage,” Mr Kamau said. “We are aware of the hoarding issue and we are dealing with it. You (marketers) can lose a licence but we do not want to go there for now. After the crisis, something must happen because there are conditions attached to those licences.”

The Petroleum Act of 2019 imposes a fine of Sh10 million or five years in jail for dealers who sell fuel above the price set by the Energy and Petroleum Regulatory Authority (Epra). Those caught hoarding fuel risk fines of not less than Sh1 million or one year in jail or both.

The energy regulator Epra has also threatened any company found hoarding fuel with deregulation.

Kenya is reeling from a surge in crude oil prices since last year, which has forced it to start subsiding retail prices.

The government rolled out a fuel subsidy in April last year to cushion consumers from the surge in the price of oil in the international markets.

It has so far spent Sh36 billion subsidising fuel, which has helped stabilise prices at the pump and kept inflation within the government’s preferred band.

But the latest jump is causing cash flow problems at some smaller fuel retailers, leading to supply shortages. The hardships have been compounded by delays in the payment of subsidies to the companies by the government.

Conflicting reasons have been given for the shortage, with President Uhuru Kenyatta attributing it to the global crisis occasioned by Russia’s invasion of Ukraine.

Kenya Pipeline, the national oil storage company, says there is enough stock.

Oil dealers say delayed subsidies promised by the government to oil marketers to cushion consumers from the effects of the global crisis is causing the shortages and price hikes.

The fuel shortage started in the Western and North Rift regions before hitting Nairobi on Friday, triggering panic buying that saw dealers hike prices and others limit the amount of fuel being sold per motorist.

A litre of petrol is retailing at above Sh200 a litre in some filling stations, breaching the level set by Epra in its last monthly fuel review.

In Nairobi, diesel and petrol prices are capped at Sh115.60 and Sh134.72 for the month to April 15— the highest level in Kenya’s history.

Yesterday’s assurances by the government will ease growing fears that had already seen motorists in border towns cross to towns in the neighbouring countries for fuel.

In addition to straining the government’s finances, higher oil prices also drove up inflation by a half percentage point last month, and it has also frustrated policymakers.

Public transport service providers have warned they will hike fares while the planting season has been disrupted due to lack of fertilisers and enough diesel to power the tractors, underlining the extent of the artificial shortage of fuel.
 
Wakenya tumewazidi mbali kwa hilo umeona tuna foleni ya magari popote kituo chochote cha mafuta?

Mleta mada.na wewe hapa nchi yako hata kama huipendi usiipakazie namna hiyo

Ingekuwa Tanzania tuna foleni ungekuwa ohh Tanzania kuna foleni ONA kenya foleni haipo!!!

Siasa zenu za kishamba na kitoto nyie Chadema
Acha upunguani bwashee, tuna miaka 30 kuwafikia Kenya karibu kila kitu wametuzidi isipokuwa ardhi nzuri.
...viwanda vingi
...magari mengi zaidi na makali
...barabara nk
 
Back
Top Bottom