YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wamiliki uchumi mkubwa wa Kenya wazungu sababu hawakuwafukuza kama Sisi azimio la ArushaAcha upunguani bwashee, tuna miaka 30 kuwafikia Kenya karibu kila kitu wametuzidi isipokuwa ardhi nzuri.
...viwanda vingi
...magari mengi zaidi na makali
...barabara nk
Waswahili Kenya vibarua tu wanakopa safari kwa mortgage kampuni za wazungu wanakofanya kazi
Watanzania wengi wana magari lakini sio ya miko au mortgage ok ni used car cha msingi hawadaiwi na mtu..
Kenya mtu hadi nyumba anaishi kwa mkopo Press kibao kibarua kikiota majani
Kenya wanaushi kwa mkopo,Mkopo gari ,mkopo nyumba,mkopo fridge,mkopo furniture za ndani'mkopo bidaboda ,mkopo daladala nk.Wakenya wengi maisha yao mkopo tu