Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
[emoji38][emoji38][emoji38]Tembea kidogo acha kujifungia Bonyokwa wewe Wakenya sio wenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Tembea kidogo acha kujifungia Bonyokwa wewe Wakenya sio wenzio
Chadema inahusika kwenye nini ?Chadema ni wapumbavu na hakuna siku wataongoza nchi hii..hawa wanaweza kutuuza hawa hawana chembe ya uzalendo hata kidogo
Erythrocyte
We pay the price of the total DEPENDENCE ( on economic, business models & policies ). We consume even garbage(s).Kama serikali ya kenya ingekuwa na reserve ya mafuta inge offload kwa retailers kuokoa hali mbaya ya upatikanaji wa mafuta ila for now it seems either Kenyans are at the mercy of petroleum products wholesalers or the procurement arrangements are in shambles. Without government intervention and proper regulation hii hali itakuwa perennial.
Kwenye huo ujinga wako!! Usingekuwa Chadema ungekuwa na akili hata kidogoChadema inahusika kwenye nini ?
Kenya Pipeline Company ilisema hapo Jana kwamba wako na reserves za kutosha kwahivyo hii shida haifai kuwepo...Kama serikali ya kenya ingekuwa na reserve ya mafuta inge offload kwa retailers kuokoa hali mbaya ya upatikanaji wa mafuta ila for now it seems either Kenyans are at the mercy of petroleum products wholesalers or the procurement arrangements are in shambles. Without government intervention and proper regulation hii hali itakuwa perennial.