Uhuru Kenyatta awezesha Kenya kuepuka upungufu wa mafuta

Acha upunguani bwashee, tuna miaka 30 kuwafikia Kenya karibu kila kitu wametuzidi isipokuwa ardhi nzuri.
...viwanda vingi
...magari mengi zaidi na makali
...barabara nk
Wamiliki uchumi mkubwa wa Kenya wazungu sababu hawakuwafukuza kama Sisi azimio la Arusha

Waswahili Kenya vibarua tu wanakopa safari kwa mortgage kampuni za wazungu wanakofanya kazi

Watanzania wengi wana magari lakini sio ya miko au mortgage ok ni used car cha msingi hawadaiwi na mtu..

Kenya mtu hadi nyumba anaishi kwa mkopo Press kibao kibarua kikiota majani

Kenya wanaushi kwa mkopo,Mkopo gari ,mkopo nyumba,mkopo fridge,mkopo furniture za ndani'mkopo bidaboda ,mkopo daladala nk.Wakenya wengi maisha yao mkopo tu
 
Tembea kidogo acha kujifungia Bonyokwa wewe Wakenya sio wenzio
 
Tembea kidogo acha kujifungia Bonyokwa wewe Wakenya sio wenzio
Unaongelea Kenya hiyo au

Ukimuona mkenya ana chochote hata kiwanja kakopa,iwe gari ya biashara au private kakopa iwe nyumba anaishi kakopa uone ana biashara kakopa mtaji tofauti na Tanzania
 
Tembea kidogo acha kujifungia Bonyokwa wewe Wakenya sio wenzio
Unaongelea Kenya hiyo au

Ukimuona mkenya ana chochote hata kiwanja kakopa,iwe gari ya biashara au private kakopa iwe nyumba anaishi kakopa uone ana biashara kakopa tofauti na Tanzania

Wakenya wana madeni hadi kisogoni majority tofauti na watanzania
 
Unaongelea Kenya hiyo au

Ukimuona mkenya ana chochote hata kiwanja kakopa,iwe gari ya biashara au private kakopa iwe nyumba anaishi kakopa uone ana biashara kakopa mtaji tofauti na Tanzania
Kwa kuwa na kigezo cha kupata mkopo kenya tayari wewe una eleweka kiuchumi.

Ee hebu elezea watu wa magharibi wananunua vitu kwa cash?

Hibi bongo tuna nyumba ngapi bora?

Inaonyesha wewe mshamba tu Tz 80% nyumba ni mapagare tu
 
Mbona nimeona Kenya foleni kubwa sana, Nikweli tunakosoa ila Kwa hili hapana japo mafuta yamepanda kweli,ila yanapatikana kama kawaida
 
Kwa kuwa na kigezo cha kupata mkopo kenya tayari wewe una eleweka kiuchumi.

Ee hebu elezea watu wa magharibi wananunua vitu kwa cash?

Hibi bongo tuna nyumba ngapi bora?

Inaonyesha wewe mshamba tu Tz 80% nyumba ni mapagare tu
Uko sahihi lakini maisha ni hand to mouth unakuwa workaholic forever kuservice madeni tu cash huna .Ndio maana watanzania wengi hawataki kuolewa na wakenya na kingereza chao kilichonyooka cha malizia wanasema Yamejaa mideni tu siku likiachishwa kazi au likifa mideni halijamaliza pesa za kiinua mgongo au nyumba au biashara alivyowekewa dhamana vinaondoka unabaki lofa

Wakenya oaneni wenyewe .Watanzania wengi hatutaki mkenya awe mwanaume. Ana mali au mwanamke ana mali watanzania wengi walishazinduka hawawataki wakenya mumejaa madeni
 
Nakuhakikishia kuwa Wakenya wengi wanajiweza kiuchumi hata wanawake kuliko huku kwetu
 
Nakuhakikishia kuwa Wakenya wengi wanajiweza kiuchumi hata wanawake kuliko huku kwetu

Aliyekudanganya hakufanya poa hata kidogo, Kwani alikuona kilaza aje! [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ninakazia:

Bei za Mafuta zinakoshuka watawala wao siyo wezi

Cc: The Sunk Cost Fallacy Jumbe Brown
 
Aliyekudanganya hakufanya poa hata kidogo, Kwani alikuona kilaza aje! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndiye kilaza namba moja...unasimuliwa vijiweni.
Nimeishi Kenya sana na ninaenda kibiashara kila mara.

Rate ya umasikini wa Tz huwezi kulinganisha na Kenya.
Tz majitu mavivu na wengi maisha ya hovyo sana.
Huku tunabebwa na ardhi nzuri na bado hatujaitendea haki
 

Koma kuifananisha Tanzania na vinchi failed state zinazopokea msaada wa chakula karne ya 21.
 
Koma kuifananisha Tanzania na vinchi failed state zinazopokea msaada wa chakula karne ya 21.
Daah ninakusikitikia sana kwa ushamba huu.
Hivi unaijua bajeti ya kenya kuwa sisi tunaingia mara 2?
Unaelewa kuwa Kenya ndio wanaongiza kununua chakula Tz na kuuza nchi nyingine?
Unaelewa kuwa Kenya imeingia uchumi wa kati kitambo sana na sisi tumeshindwa hata kuingia uchumi wa kati..wa chini?

Una habari kuwa Kenya ina watu wachache kuliko sisi lkn wana makusanyo makubwa ya kodi ambayo ni matokeo ya uchumi mkubwa wa mtu mmoja mmoja?

Endelea kusugua matako vijiweni mkidanganyana huku mkinywa alikasusu
 

Unazungumzia ile bajeti ambayo asilimia kubwa inaishia kwenye kulipa madeni huku nyingine ikiingiia kwenye mifuko ya wanasiasa wachache au kuna nyingine! [emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi una habari Kenya inakabiliwa na janga kubwa la njaa muda huu?
Hivi una habari Tanzania ina maghala ya kuuza chakula Sudan kusini na Congo tuna mpango wa kufungua maghala Mombasa kwa ajili ya chakula?

Hivi una habari reli ya Kenya imeishia vichakani baada ya serikali yao kukosa pesa ya kumalizia?

Hivi una habari kuwa Kenya ni moja ya nchi ambayo raia wake wanakamuliwa kodi hakuna mfano.
Mfano bei ya bei moja Kenya kwa Tanzania unanunua bia mbili.

Uchumi upi huo unazungumzia wakati miradi zaidi ya 500 imekwama kunya failed state kwa kukosekana kwa pesa!

Uchumi upi huo unazungumzia wakati serikali ya Kenya haiwezi kufanya mradi wowote hadi ikope?

Nchi raia wake wanaishi kwenye mabanda halafu unathubutu kufananisha na Tanzania!

Hivi una habari wakenya wengi hufata matibabu bora kwenye hospitali za Tanzania?
 
Wakenya huwawezi wewe....
 
Chadema ni wapumbavu na hakuna siku wataongoza nchi hii..hawa wanaweza kutuuza hawa hawana chembe ya uzalendo hata kidogo
Erythrocyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…