Uhuru Kenyatta awezesha Kenya kuepuka upungufu wa mafuta

We pay the price of the total DEPENDENCE ( on economic, business models & policies ). We consume even garbage(s).
 
Kenya Pipeline Company ilisema hapo Jana kwamba wako na reserves za kutosha kwahivyo hii shida haifai kuwepo...
Hii shida imeletwa na big oil retailers waliamua kuacha kusambaza mafuta wakidai hawajalipwa oil subsidy na serekali Kwa miezi minne... Jambo Hilo ndo limefanya serekali kutoa hizo $200 million mbio mbio hapo ndipo hizo kampuni zikarudi kusambaza mafuta Kwa vituo vyao....
Ili kuepuka jambo kama hili huko mbeleni inafaa serekali ipanue kampuni yake ya 'National Oil' iwe na vituo kila corner ya Kenya ili kampuni za kibinafsi zikiamua kushika nchi mateka basi angalau National Oil itakua na vituo vya kutosha kuendelea kuhudumia wateja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…