KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 698
Kwa mtu yeyote makini, na aliyekua akifatilia this race deeply hawezi kupinga kwamba Raila kachezewa mchezo mchafu.
Mkuu leo ni jumamosi na kesho jumapili mahakama hazifunguliwi.tegemea lolote kuanzia jumatatuAende mahakamani, asianazishe fujo inayoweza pelekea mauaji ya raia wasio na hatia!
Baada ya matokeo a uchaguzi kutangazwa na tume ya uchaguz ya kenya IEBC, Uhuru Kenyatta ndiye aliyetangazwa kuwa mshindi kwa kupata 50.3% akifatiwa na Raila Odinga. Raila Odinga anapinga matokeo a uchaguzi huo kwa sababu mbalimbali ikiwepo ile ya ma-agent wa uchaguzi pale Bomas kutolewa mahali ambapo kura zilikuwa zikihesabiwa na pia suala la baadhi ya vituo kura matokeo kuonesha idadi kubwa ya kura kuliko idadi ya watu waliopiga kura.
Kisheria kama kuna uvunjifu wa kanuni na utaratibu hata kama kura halisi zilikufavour bado haikuondolei kosa na hata kupelekea kubatilisha matokeoMatokeo haya yalitarajiwa kabla ya uchaguzi. Kura za wakenya wengi ziko Rift Valley na Central kenya. Safari hii hakuwa na support kote huko. Large turnout ya voters ina maana kuwa mwenye numbers atshinda. Safari hii Uhuru had numbers na wamepiga kura. Raila akubali tu amepoteza kihalali kabisa
Nyie mnaoshangilia naomba kura za wagombea wote na zilizo halibika hata mimi nilisoma hesabu kuna kitusielewi elewi.....
Tofauti hii ya kura laki 6 na ushee (07%) ni kubwa sana!
Raila akubali tu yaishe!
Aisee, kumbe na wewe unafuatilia mambo ya Kenya!?Rejected votes ni 108,975
ni 5-0 kwa dakika 180. Kuna timu hapa bongo iliwahi kuchapwa 5-0 ndani ya dakika 90kama ulisoma hesabu hebu nijibu kwanza hili...
Kama timu yako hapa home ilichapwa 1-0, kisha ikapanda Ndege na kwenda away na kulalwa 4-0 je matokeo ya jumla inakuwa ngapi?
Achana na mambo ya pai pi kipeuo cha pili...
Jibu hilo kwanza...
Hapana! Kulingana na katiba ya Kenya, Uhuru kashinda kwa kura 4,100 tu.
"My Fellow Kenyans, I may not have done you the best things, but MAMA NGINA has helped me do it for you!! You all know, I dedicate all my youthfulness fo fight the white butterflies out of the ridges and valleys of Kenya and purposely today Kenyans are free!! Its because of this long-awaited freedom, that I have decided to dedicate this wonderful gift given to you by Mama Ngina to the Kenyans!! His name shall be UHURU. I tell you today, even when I am gone, it is this freedom (UHURU) that will take you to the promised land!" - Jommo Kenyata