KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 698
Matokeo haya yalitarajiwa kabla ya uchaguzi. Kura za wakenya wengi ziko Rift Valley na Central kenya. Safari hii hakuwa na support kote huko. Large turnout ya voters ina maana kuwa mwenye numbers atshinda. Safari hii Uhuru had numbers na wamepiga kura. Raila akubali tu amepoteza kihalali kabisa

