Uhuru Kenyatta elected 4th Kenyan President.

Uhuru Kenyatta elected 4th Kenyan President.

Matokeo haya yalitarajiwa kabla ya uchaguzi. Kura za wakenya wengi ziko Rift Valley na Central kenya. Safari hii hakuwa na support kote huko. Large turnout ya voters ina maana kuwa mwenye numbers atshinda. Safari hii Uhuru had numbers na wamepiga kura. Raila akubali tu amepoteza kihalali kabisa
 
Raila sio mtu mzuri at all, anapinga nini wakati kashindwa. Akumbuke kuwa matokeo ya upingaji wake yalipelekea wakenya kupigana 2007. Hate you Odinga na kama Kenya ikiingia katika machafuka ni wewe chanzo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Aende mahakamani, asianazishe fujo inayoweza pelekea mauaji ya raia wasio na hatia!
Mkuu leo ni jumamosi na kesho jumapili mahakama hazifunguliwi.tegemea lolote kuanzia jumatatu
wenzetu wana katiba mpya inamruhusu kufanya hivyo
 
Baada ya matokeo a uchaguzi kutangazwa na tume ya uchaguz ya kenya IEBC, Uhuru Kenyatta ndiye aliyetangazwa kuwa mshindi kwa kupata 50.3% akifatiwa na Raila Odinga. Raila Odinga anapinga matokeo a uchaguzi huo kwa sababu mbalimbali ikiwepo ile ya ma-agent wa uchaguzi pale Bomas kutolewa mahali ambapo kura zilikuwa zikihesabiwa na pia suala la baadhi ya vituo kura matokeo kuonesha idadi kubwa ya kura kuliko idadi ya watu waliopiga kura.

jamani kwenye huu uchaguzi kuna siri imefanyika ambayo nikiropoka nitatafutwa kwa hali na mali ili nitoe ufafanuzi.Kwa kherini........
 
Matokeo haya yalitarajiwa kabla ya uchaguzi. Kura za wakenya wengi ziko Rift Valley na Central kenya. Safari hii hakuwa na support kote huko. Large turnout ya voters ina maana kuwa mwenye numbers atshinda. Safari hii Uhuru had numbers na wamepiga kura. Raila akubali tu amepoteza kihalali kabisa
Kisheria kama kuna uvunjifu wa kanuni na utaratibu hata kama kura halisi zilikufavour bado haikuondolei kosa na hata kupelekea kubatilisha matokeo
stay tuned
 
Uchaguzi umeisha Uhuru ameshinda. Raila nawe kubali kushindwa wakenya warudi kazini kujenga maisha yao. Nawapongeza tume ya uchaguzi na mipaka. Despite technical challenges zoezi limeisha ndani ya muda uliowekwa na katiba.
 
Tofauti hii ya kura laki 6 na ushee (07%) ni kubwa sana!

Raila akubali tu yaishe!
 
Vijana ndio hao tena wameishika nchi, wajanja wajanja kama nini!
Ukichukua hizo namba mbili ukamjumlisha Sonko na Waititu, tuombe Mungu hao Mungiki wamrudie Mungu kama bosi wao wa zamani alivyoamua lakini mbali hapo huenda mambo yasiwe.

Kweli kitu DEMOKRASIA si mchezo.

Kila la kheri Wakenya!

uhuruto7 (1).jpgDNMBUVI1110D.jpg
 
Nyie mnaoshangilia naomba kura za wagombea wote na zilizo halibika hata mimi nilisoma hesabu kuna kitusielewi elewi.....


kama ulisoma hesabu hebu nijibu kwanza hili...
Kama timu yako hapa home ilichapwa 1-0, kisha ikapanda Ndege na kwenda away na kulalwa 4-0 je matokeo ya jumla inakuwa ngapi?

Achana na mambo ya pai pi kipeuo cha pili...
Jibu hilo kwanza...
 
kama ulisoma hesabu hebu nijibu kwanza hili...
Kama timu yako hapa home ilichapwa 1-0, kisha ikapanda Ndege na kwenda away na kulalwa 4-0 je matokeo ya jumla inakuwa ngapi?

Achana na mambo ya pai pi kipeuo cha pili...
Jibu hilo kwanza...
ni 5-0 kwa dakika 180. Kuna timu hapa bongo iliwahi kuchapwa 5-0 ndani ya dakika 90
 
uchaguzi umeisha sisi tunawatakia Kila la kheri ktk kuijenga nchi yao.
 
These are words down to Earth, imagine such words turn true..... I'm touched...!!
BabaJonii ♡♡♡♥♥♥


"My Fellow Kenyans, I may not have done you the best things, but MAMA NGINA has helped me do it for you!! You all know, I dedicate all my youthfulness fo fight the white butterflies out of the ridges and valleys of Kenya and purposely today Kenyans are free!! Its because of this long-awaited freedom, that I have decided to dedicate this wonderful gift given to you by Mama Ngina to the Kenyans!! His name shall be UHURU. I tell you today, even when I am gone, it is this freedom (UHURU) that will take you to the promised land!" - Jommo Kenyata
67078_224270087710768_611168020_n.jpg
 
Back
Top Bottom