Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 565888 View attachment 565887 HABARI: Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyata asema wananchi wanaruhusiwa kuandamana ila Serikali haitavumilia watakaoharibu mali za umma.[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Uhuru hana tatizo na wakenya wengi wanasema hivyo ...
Tatizo lipo kwa naibu wake ndiye mtu hatari sana kwenye siasa za Kenya watu wore ambao wamepotea hawamu hii ni kwa sababu ni Ruto...
Uhuru weakness yake ni kushindwa kupambana na mafisadi pia...
Lakini kiubinadamu Uhuru is a great man....
Raila angekuwa huku kwetu ndo angejua kutesa kwa zamu.....View attachment 565888 View attachment 565887 HABARI: Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyata asema wananchi wanaruhusiwa kuandamana ila Serikali haitavumilia watakaoharibu mali za umma.[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Akili za jikoni utazijua tu.Wacha tuone Odinga na watoto wake ,Kalonzo na watoto wake ,Orengo na familia yake na mali zao zote kwanza wawekwe mbele katika maandamano.Great objectives require great sacrifices for those who are to gain the most ,so NASA principals tuwache unafiki wa kucheza na maisha ya watu wa slums.
Jidanganye wanauawa hukoUhuru ni kiongozi anayeheshimu katiba na sheria za nchi, akili kubwa