MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Ulivyo boya hiyo (Kenye) ndio nchi gani!?Nchi ya kenye iko vizuri kwenye demokrasia ingekuwa nchi ya makanikia nikupewa kesi za uchochezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyo boya hiyo (Kenye) ndio nchi gani!?Nchi ya kenye iko vizuri kwenye demokrasia ingekuwa nchi ya makanikia nikupewa kesi za uchochezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo katiba aliyo apa kuitumikia. Na mwisho akasema Mungu nisaidie. Kumbe hakujua anaapa nini...Kama wapinzani wanataka kuandamana nataka wao viongozi ndio watangulie mbele kwenye maandamano na sio kuwanywesha watoto wa masikini viroba(pombe) na wao kulala guest(Nyumba za wageni) huku hawashiriki maandamano-BY JPM akiwa SINGIDA.
Wakenya wako na brain sana. Kama Raila asinge tumia jina la JPM angepewa kura za kutosha. Yeye alidhani JPM anafanya vyema kumbe ana didimiza uchumi
Uhuru ni mwiba kwa madikteta uchwaraNaona ndo anazidi kumchanganya zaidi huyu mungu
Uhuru ni level nyingine.Uhuru Kenyatta katokea ki Obama Obama wa Afrika hivi.
Obama unaweza kumkatisha speech, watu wakataka kukunyamazisha, halafu akakutetea kwamba uachiwe uongee kwa sababu una haki ya kikatiba ya kumkatisha rais speech yake.
Ndicho anachofanya Uhuru hapo.
Whether Machiavellian calculations or genuine benevolence, this stance is badly needed in Africa.
I can't see Magufuli doing that.
Kuna mama mmoja alim disrespect ovyo sana, akamsema vibaya sana kwa namna ambayo kumsema rais wa Africa ni hatari sana.
mkuu fisadi namba moja ni Ruto...anajikusanyia mapesa kwa ajili ya kuisaka Ikulu 2022....sasa hapo Kenyatta anafungwo mikono maana bila kura za Rift Valley ni ngumu kwake kushinda Kenya...Uhuru hana tatizo na wakenya wengi wanasema hivyo ...
Tatizo lipo kwa naibu wake ndiye mtu hatari sana kwenye siasa za Kenya watu wote ambao wamepotea hawamu hii ni kwa sababu ya Ruto...
Uhuru weakness yake ni kushindwa kupambana na mafisadi pia...
Lakini kiubinadamu Uhuru is a great man....
kuna jamaa pia lilimsemea mbovu mamake uhuru,likamtukana matusi mazito,,ha ha ha Uhuru akamuibukia club anakonywea ulabu na kucheza pull,ili wayamalize man to man,Kuna mama mmoja alim disrespect ovyo sana, akamsema vibaya sana kwa namna ambayo kumsema rais wa Africa ni hatari sana.
Alimuita Uhuru ni fisi na mwizi.
Uhuru akasemamuachieni tu anatumia haki yake ya kikatiba.
Magufuli ukimsemahivyo hata Bungeni unakotetewa na parliamentary immunity anamwambia Spika "washughulikie huko,sisi tutawashughulikia huku".

Hahaha, Uhuru kamtokea kama msela wa kitaa tu. Poa sana.kuna jamaa pia lilimsemea mbovu mamake uhuru,likamtukana matusi mazito,,ha ha ha Uhuru akamuibukia club anakonywea ulabu na kucheza pull,ili wayamalize man to man,
kwa maana ya ndondi,
jamaa alipomuona uhuru anaingia area akatoka baruti
Kama wapinzani wanataka kuandamana nataka wao viongozi ndio watangulie mbele kwenye maandamano na sio kuwanywesha watoto wa masikini viroba(pombe) na wao kulala guest(Nyumba za wageni) huku hawashiriki maandamano-BY JPM akiwa SINGIDA.
Nadhani anataka kuwashughulikia,si unajua tena nguvu ya dola ikiamrishwa inavyokuwaga.Kauli za dikteta uchwara hizi. Watangulie mbele ili iweje!?