Uhuru Kenyatta kasema ruksa kuandamana kwa wasioridhishwa na matokeo

Uhuru Kenyatta kasema ruksa kuandamana kwa wasioridhishwa na matokeo

Safi sana Uhuru.
Anastahili kuitwa Rais wa Kenya.
Ameonyesha Ustaarabu, Uvumilivu na ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa.
Uhuru amejitofautisha kabisa na tabia za madikteta wengine huku Afrika Mashariki.

Hiyo ndio siasa.
 
Kumfananisha Uhuru na Magu kwa demokrasia ni kama mlima na kichuguu.Uhuru mlima Magu kichuguu.Yeye hata vitu viko kikatiba anapiga marufuku aseme yeye tu!
 
Wacha tuone Odinga na watoto wake ,Kalonzo na watoto wake ,Orengo na familia yake na mali zao zote kwanza wawekwe mbele katika maandamano.Great objectives require great sacrifices for those who are to gain the most ,so NASA principals tuwache unafiki wa kucheza na maisha ya watu wa slums.
East Africa yetu hii kiongozi wa upinzani pekee mwenye courage ya kutoka front line yeye mwenyewe ni Dr Kiiza Byesige wa Uganda.

"A voice of one calling in the wildernes"
 
Yes andamana lakini usiharibu Mali za watu na miundo mbinu ya serikali.Uharibifu hata serikali ya marekani kinara wa demokrasia haiwezi kukubali!
 
Uhuru yupo smart sana. Waache watu waandamane watoe ya moyoni mpaka wachoke na ndo tiba kwao
 
Uhuru Kenyatta katokea ki Obama Obama wa Afrika hivi.

Obama unaweza kumkatisha speech, watu wakataka kukunyamazisha, halafu akakutetea kwamba uachiwe uongee kwa sababu una haki ya kikatiba ya kumkatisha rais speech yake.

Ndicho anachofanya Uhuru hapo.

Whether Machiavellian calculations or genuine benevolence, this stance is badly needed in Africa.

I can't see Magufuli doing that.
Msalimie Babu yenu Lowassa
 
Msalimie Babu yenu Lowassa
Lowassa babu yangu kwa minajili gani?

Unaposema "babu yenu" unamaanisha kikundi gani?

Umejuaje mimi nimo kikundi hicho?

Ushahidi wako usiopingika uko wapi?

Sent from my Kimulimuli
 
Huyu wetu ana tatizo au hofu gani kwanini asiige kwa Uhuru?
 
Uhuru Kenyatta katokea ki Obama Obama wa Afrika hivi.

Obama unaweza kumkatisha speech, watu wakataka kukunyamazisha, halafu akakutetea kwamba uachiwe uongee kwa sababu una haki ya kikatiba ya kumkatisha rais speech yake.

Ndicho anachofanya Uhuru hapo.

Whether Machiavellian calculations or genuine benevolence, this stance is badly needed in Africa.

I can't see Magufuli doing that.

Kwa ujumla, viongozi wengi wa Marekani wako hivyo.

Muone G. W. Bush hapa...anakwambia kabisa 'we believe in free speech in the United States of America'

Huyu analeta uchochezi huyu

hata bibi alikuwa binti.
 
Uhuru Kenyatta katokea ki Obama Obama wa Afrika hivi.

Obama unaweza kumkatisha speech, watu wakataka kukunyamazisha, halafu akakutetea kwamba uachiwe uongee kwa sababu una haki ya kikatiba ya kumkatisha rais speech yake.

Ndicho anachofanya Uhuru hapo.

Whether Machiavellian calculations or genuine benevolence, this stance is badly needed in Africa.

I can't see Magufuli doing that.
Safi I may disapprove what you say but I will defend to death your right to say it!
 
Uhuru ni nature, wape haki ya kuandamana wakifika jion wanarudi kwao hata mwaka mzima watachoka wenyewe maadamu wasiharibu mali kazi ya polisi ni kuwalinda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowassa babu yangu kwa minajili gani?

Unaposema "babu yenu" unamaanisha kikundi gani?

Umejuaje mimi nimo kikundi hicho?

Ushahidi wako usiopingika uko wapi?

Sent from my Kimulimuli
Babu yenu Lowassa ameamkaje Leo?
 
Back
Top Bottom