Uhuru Kenyatta kasema ruksa kuandamana kwa wasioridhishwa na matokeo

Safi sana Uhuru.
Anastahili kuitwa Rais wa Kenya.
Ameonyesha Ustaarabu, Uvumilivu na ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa.
Uhuru amejitofautisha kabisa na tabia za madikteta wengine huku Afrika Mashariki.

Hiyo ndio siasa.
 
Kumfananisha Uhuru na Magu kwa demokrasia ni kama mlima na kichuguu.Uhuru mlima Magu kichuguu.Yeye hata vitu viko kikatiba anapiga marufuku aseme yeye tu!
 
East Africa yetu hii kiongozi wa upinzani pekee mwenye courage ya kutoka front line yeye mwenyewe ni Dr Kiiza Byesige wa Uganda.

"A voice of one calling in the wildernes"
 
Yes andamana lakini usiharibu Mali za watu na miundo mbinu ya serikali.Uharibifu hata serikali ya marekani kinara wa demokrasia haiwezi kukubali!
 
Kenyatta anajua kula na vipofu

......
 
Uhuru yupo smart sana. Waache watu waandamane watoe ya moyoni mpaka wachoke na ndo tiba kwao
 
Msalimie Babu yenu Lowassa
 
Msalimie Babu yenu Lowassa
Lowassa babu yangu kwa minajili gani?

Unaposema "babu yenu" unamaanisha kikundi gani?

Umejuaje mimi nimo kikundi hicho?

Ushahidi wako usiopingika uko wapi?

Sent from my Kimulimuli
 
Huyu wetu ana tatizo au hofu gani kwanini asiige kwa Uhuru?
 

Kwa ujumla, viongozi wengi wa Marekani wako hivyo.

Muone G. W. Bush hapa...anakwambia kabisa 'we believe in free speech in the United States of America'

 
Huyu analeta uchochezi huyu

hata bibi alikuwa binti.
 
Safi I may disapprove what you say but I will defend to death your right to say it!
 
Uhuru ni nature, wape haki ya kuandamana wakifika jion wanarudi kwao hata mwaka mzima watachoka wenyewe maadamu wasiharibu mali kazi ya polisi ni kuwalinda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowassa babu yangu kwa minajili gani?

Unaposema "babu yenu" unamaanisha kikundi gani?

Umejuaje mimi nimo kikundi hicho?

Ushahidi wako usiopingika uko wapi?

Sent from my Kimulimuli
Babu yenu Lowassa ameamkaje Leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…