Uhuru Kenyatta: Magufuli taught us that Africa can do without foreign aid

Uhuru Kenyatta: Magufuli taught us that Africa can do without foreign aid

Mabeberu
who funds Kimara Kibaha superhighway? Who did fund Magufuli Bus Terminal? who did fund Mwanza slipway? Who funds JNHPP in Rufiji? who funds ship construction around the country's big lakes? Who funds Karema and Kigoma port construction? who funds lot 3 n 1 of SGR Dar to Mwanza? Who funds JPM bridge Mwanza, Who funds PAX Terminal Mwanza airport? Who funds Government city Mtumba(Magufuli city)? Who funds over 50 km in Government city? Who did fund ministries offices? Who funds Ikulu construction at Chamwino? who did fund Dodoma airport expansion and modernization? Who did fund Uhuru hospital Dodoma, who did fund 92 hospitals and 400 health centers around the country? who did fund several bus terminals, slaughter houses and markets around the country? Who funded Tanga and Mtwara port expansion? Who funded Tanga-Moshi-Arusha MGR rehabilitation? Who funded new ferries in the Indian Ocean for Mafia Island? Who funded Chato airport?

CC: Tony254
 
Hakuna sheria inayokataza mtoto wa kike kuwa akipata mimba asirudi shuleni lakini aongeacho Rais huwa ni sheria

Eti hakuna Nini? Na ile whistle blowers waliotaka mabadiriko yake ilikuwa ni Nini?
Siku nyingine unapokuja kufanya mijadala kama hii uwe umejipanga.

Anyway, Tuchukulie hakuna hiyo sheria kama ulivyodanganywa,
Je Yeye ndiye aliyekuwa Rais wa kwanza kutamka hili?
 
1.Kama sheria ipo iweke hapa acha porojo.

2.Yeye kutokuwa Rais wa kwanza kutamka hilo:

(i)Haifanyi kuwa alichotamka hakinyanyasi watoto wa kike.

(ii)Haizuii kumfanya kuwa Rais mbaya na mbovu.
 
1.Kama sheria ipo iweke hapa acha porojo.

2.Yeye kutokuwa Rais wa kwanza kutamka hilo:

(i)Haifanyi kuwa alichotamka hakinyanyasi watoto wa kike.

(ii)Haizuii kumfanya kuwa Rais mbaya na mbovu.

Mijadala kama hii haihitaji hasira.
Kwa ufupi, hili tamko la wazazi wanafunzi siyo la kwanza.
Pia ulie usilie halita badilika.

Nikutakie mchana mwema.
Acha niendelee na maombolezo ya shujaa wetu JPM.
 
Mijadala kama hii haihitaji hasira.
Kwa ufupi, hili tamko la wazazi wanafunzi siyo la kwanza.
Pia ulie usilie halita badilika.

Nikutakie mchana mwema.
Acha niendelee na maombolezo ya shujaa wetu JPM.
Lilishabadilika!Serekali ya kinyanyasaji ya CCM walifyata mkia baada ya mabeberu ambao huwa mnawategemea sana kudai kuwa kama watoto wa kike watanyanyaswa basi hawatatoa hela za elimu!
 
and Kurasini interchange and Nyerere bridge?

CgyT85AXEAABtHY
The bridge is also the first toll road in Tanzania which will help pay back the loans taken to build the bridge.
 
The bridge is also the first toll road in Tanzania which will help pay back the loans taken to build the bridge.
loan taken from Tanzanian Parastatals wapi bridge yenu iliyojengwa na fedha za pension parastatals za Kunyaland?
 
Do without foreigh aid. Meanwhile, milk the money out of the citizen till they run dry!
 
Kwanza ishu ya kufanya miradi bila kukopa ni propaganda tu. Niambie mradi upi umetumia hela zetu za ndani full??

Kwanza unafahamu chochote kuhusu deni la Taifa kipindi cha Kikwete na miaka 6 ya Magufuli limeongezeka kwa asilimia ngapi??
 
loan taken from Tanzanian Parastatals wapi bridge yenu iliyojengwa na fedha za pension parastatals za Kunyaland?
nimegundua ujenzi wa Kigamboni/ Nyerere Bridge ulianza 2012 na huyo jamaa yako aliingia madarakani 2015, 2016 ujenzi ulikamilika na alichokifanya ni kubadilisha jina tu.
 
Kwanza ishu ya kufanya miradi bila kukopa ni propaganda tu. Niambie mradi upi umetumia hela zetu za ndani full??

Kwanza unafahamu chochote kuhusu deni la Taifa kipindi cha Kikwete na miaka 6 ya Magufuli limeongezeka kwa asilimia ngapi??
hakuna kitu huyu jamaa alifanya mbali na kununua ndege na kupaka meli rangi.
 
nimegundua ujenzi wa Kigamboni/ Nyerere Bridge ulianza 2012 na huyo jamaa yako aliingia madarakani 2015, 2016 ujenzi ulikamilika na alichokifanya ni kubadilisha jina tu.
He was the minister of works the one negotiated terms and came up with an idea to get the money from Parastatals in Tanzania!
 
Back
Top Bottom