Uhuru Kenyatta: Mapolisi mwambieni anayewatuma msisumbue familia yangu. Nikamateni Mimi niko hapa acheni uwoga!

Raila na kenyatta ni wajinga tu....mtu ulikuwa madarakani ukashindwa kumpa mtu urais umpendaye....mpaka states tools zinakuama ulikuwa wapi.? Sasa uandamane ndio utapata huo urais? Jinga sana
 
Nani msafi pale Ruto?

The point is 49%, nusu walichagua upande wa pili. Kwahiyo common sense should be applied kuendesha nchi, serikali na kupata ushirikiano wa jamii zote.

Otherwise urais wake, focus yake itakuwa kupambana na 49% hadi muhula wake uishe.
 
Wewe mtu umemshinda kwny Sanduku la kura, akakimbilia Mahakamani ukamshinda halafu anahamasisha vurugu ili Nchi isitawalike umtazame tu?

Ruto kawafanyia sana Staha wamemuona fala …acha mwiba utolewe kwa style ile ile uliyoingilia
Kabisa mna mm namuunga mkono Ruto...
Uhuru alikuwa upande wa Odinga tangia kwenye kampeni....

Na Ruto alijua kabisa anapambana na nao wote wawili...

Kimsingi Uhuru anazingua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…