Hivi UKAID, DANIDA, SIDA, JICA, NORWEGIAN AID, CANADIAN AID, KOICA nao wakiiga sera za Tramp kusitisha misaada yao kwa dhana ileile hali itakuaje kwa nchi zetu hizi zilizozoea misaada tangu zipate uhuru?
Misaada hii hatuitaki kabisa,kwa bahati mbaya viongozi wetu ndio hulazimisha iwepo kwa maana huwa inawasaidia wao kwa kuwapa wakopeshaji rasilimali zetu