Wana jf tuwe wakweli kwa hali ilivyo ndani ya serikali ya Kenya ingekuwa kwenye mataifa mengine hivi Odinga leo hii angekuwa bado analala nyumbani kwake?Tazama uchanguzi ulivyo amriwa kurudiwa wakati akijua kuwa ameshinda na akakubali kurudia kwenye box kiongozi yupi wa Afrika angekubali?Uhuru Kenyatta ni rais bora kabisa barani Afrika,najua kuna wengine watabeza ila ukweli utabakia palepale

Kenyatta kaonja hawa wengine watafika tu kule mda ndio utaongea.Una maanisha kuwa hawa wengine wanao tumia mabavu bado hawajajua yaliyopo zehegi?
Narudia tena Kenyatta ni rais bora Afrika
Watapelekwa tu kwa sasa waache watambe kama Aslay!Wapelekwe tu maana hatuna namna
hawajawahi fika, wanapaona kwenye TV na kusikia redionI.Una maanisha kuwa hawa wengine wanao tumia mabavu bado hawajajua yaliyopo zehegi?
Si bora yeye anaheshimu hata hiyo katibaUhuru analazimika kufanya hayo kulingana na katiba yao!
Umesema kweli mkuu na leo hii Uhuru kesha sema kuwa kujiapisha kwa Odinga haoni kama ni tatizo na yeye Uhuru anaandaa mazingira ili akae na Odinga ili wajadili jinsi ya kuisongesha Kenya mbeleNjia pekee ya kumaliza mzozo ni kukaa pamoja na oginga madinga waunde serikali ya kitaifa/mseto, bila hivyo oginga madinga na wenzie watamsumbua, NASA ni wengi sana na wanasukumwa na nguvu ya ukanda ,uhuru asipochukua hatua za kukaa na kuongea nao watalipasua hilo taifa vipande vipande, na siku akijidanganya kumkamata oginga oginga hapo ndo Kenya itasimama, hata uhuru anajua kuwa huyu mutu sio wa kukamata, hakuna kitu kibaya duniani kama ukabila,hicho ndo naweza sema kwa ufupi.
Narudia tena Kenyatta ni rais bora Afrika