Uhuru Kenyatta Rais bora Afrika

Uhuru Kenyatta Rais bora Afrika

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Wana jf tuwe wakweli kwa hali ilivyo ndani ya serikali ya Kenya ingekuwa kwenye mataifa mengine hivi Odinga leo hii angekuwa bado analala nyumbani kwake?Tazama uchanguzi ulivyo amriwa kurudiwa wakati akijua kuwa ameshinda na akakubali kurudia kwenye box kiongozi yupi wa Afrika angekubali?Uhuru Kenyatta ni rais bora kabisa barani Afrika,najua kuna wengine watabeza ila ukweli utabakia palepale
 
Uhuru analazimika kufanya hayo kulingana na katiba yao!
 
Wana jf tuwe wakweli kwa hali ilivyo ndani ya serikali ya Kenya ingekuwa kwenye mataifa mengine hivi Odinga leo hii angekuwa bado analala nyumbani kwake?Tazama uchanguzi ulivyo amriwa kurudiwa wakati akijua kuwa ameshinda na akakubali kurudia kwenye box kiongozi yupi wa Afrika angekubali?Uhuru Kenyatta ni rais bora kabisa barani Afrika,najua kuna wengine watabeza ila ukweli utabakia palepale

katiba inamfanya kenyatta kukamata ule umati wote

odinga ni makamu wa rais mstaafu anajua alichofanya ni makosa hakuwa mjinga

kumsifia kenyatta kunakupa faraja tu! sema yote
 
Narudia tena Kenyatta ni rais bora Afrika
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabla Hajawa Rais Alinuka Damu Ya Ndugu Zake Haikutosha Mashahidi Walizimwa Kwa Kasi Ya Kimbuga Kuelekea Uchaguzi Baadhi Wakafa So Hana Ubora Wowote Ule Umati Hata Angekuwa Nani Kutumia Nguvu Ilikuwa Ni Kumwaga Damu Hapo Hekima Ilitumika Ila Kumwita Rais Bora Hana Hizo Sifa
 
Njia pekee ya kumaliza mzozo ni kukaa pamoja na oginga madinga waunde serikali ya kitaifa/mseto, bila hivyo oginga madinga na wenzie watamsumbua, NASA ni wengi sana na wanasukumwa na nguvu ya ukanda ,uhuru asipochukua hatua za kukaa na kuongea nao watalipasua hilo taifa vipande vipande, na siku akijidanganya kumkamata oginga oginga hapo ndo Kenya itasimama, hata uhuru anajua kuwa huyu mutu sio wa kukamata, hakuna kitu kibaya duniani kama ukabila,hicho ndo naweza sema kwa ufupi.
 
Umesema kweli mkuu na leo hii Uhuru kesha sema kuwa kujiapisha kwa Odinga haoni kama ni tatizo na yeye Uhuru anaandaa mazingira ili akae na Odinga ili wajadili jinsi ya kuisongesha Kenya mbele
 
Na mimi nakuunga mkono Mkuu. Viongozi wengine wa Africa Odinga angechezea kichapo cha mbwa mwizi na kuwekwa lupango siku nyingi sana. Angalia huyu anayeminya uhuru wa Wabunge wa upinzani Bungeni. Sasa ndiyo mtu afanye kama Odinga!

Back
Top Bottom