Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wana jf tuwe wakweli kwa hali ilivyo ndani ya serikali ya Kenya ingekuwa kwenye mataifa mengine hivi Odinga leo hii angekuwa bado analala nyumbani kwake?Tazama uchanguzi ulivyo amriwa kurudiwa wakati akijua kuwa ameshinda na akakubali kurudia kwenye box kiongozi yupi wa Afrika angekubali?Uhuru Kenyatta ni rais bora kabisa barani Afrika,najua kuna wengine watabeza ila ukweli utabakia palepale