Uhuru Kenyatta Rais bora Afrika

Uhuru Kenyatta Rais bora Afrika

Na mimi nakuunga mkono Mkuu. Viongozi wengine wa Africa Odinga angechezea kichapo cha mbwa mwizi na kuwekwa lupango siku nyingi sana. Angalia huyu anayeminya uhuru wa Wabunge wa upinzani Bungeni. Sasa ndiyo mtu afanye kama Odinga!


Inasikitisha sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wana jf tuwe wakweli kwa hali ilivyo ndani ya serikali ya Kenya ingekuwa kwenye mataifa mengine hivi Odinga leo hii angekuwa bado analala nyumbani kwake?Tazama uchanguzi ulivyo amriwa kurudiwa wakati akijua kuwa ameshinda na akakubali kurudia kwenye box kiongozi yupi wa Afrika angekubali?Uhuru Kenyatta ni rais bora kabisa barani Afrika,najua kuna wengine watabeza ila ukweli utabakia palepale


Sawa na wewe basi mrembo bora Afrika, wote mko sawa!
 
Back
Top Bottom