Tetesi: Uhuru Kenyatta Seeks Parliamentary Approval To Start WAR With Somalia

Tetesi: Uhuru Kenyatta Seeks Parliamentary Approval To Start WAR With Somalia

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Screenshot_2019-08-07_161434.png

Hayawi hayawi Huwa. Kenyatta ameamua kuweka Jeshi la kenya ndani ya Bahari La somalia.
Ameshindwa na Alshabab sasa anataka vita na Serikali ya somalia

Wakenya najua mtafurahia sana, lakini mfahamu hili:
There are no winners in WAR, Only Death and distruction
 
Hali itakua tete maana hata wale wasomali ambao hawakua wanachama wa Alshabaab sasa watakua maadui wa Kenya!!

Kwa mwingiliano ulivyo ni rahisi sana Somalia kuishambulia kenya hasa kwa mtindo wa mashambukizi ya kushtukiza
 
View attachment 1174631

Hayawi hayawi Huwa. Kenyatta ameamua kuweka Jeshi la kenya ndani ya Bahari La somalia.
Ameshindwa na Alshabab sasa anataka vita na Serikali ya somalia

Wakenya najua mtafurahia sana, lakini mfahamu hili:
There are no winners in WAR, Only Death and distruction
Na zibaki kuwa tetesi, la sivyo vita vikizuka wakenya watajuta kuzaliwa.
 
Ngoja wapigane tuone ubora wa majeshi yao hii ikiwa pia ni njia mojawapo kutest wanajeshi wapya kuona kama wanaweza kuingia kikosi cha kwanza I mean front line mbele ya ahera! Si kuwa tu na wanajeshi bila kuwa na vita vya kirafiki na nchi jirani!
 
View attachment 1174631

Hayawi hayawi Huwa. Kenyatta ameamua kuweka Jeshi la kenya ndani ya Bahari La somalia.
Ameshindwa na Alshabab sasa anataka vita na Serikali ya somalia

Wakenya najua mtafurahia sana, lakini mfahamu hili:
There are no winners in WAR, Only Death and distruction
Tutafanya lolote ili heshima idumu kati yetu na Somalia, ikibidi kuwatandika basi hatuna budi
 
War Means Distruction. In final analysis all parties involved in war will be at the loosing end.
natamani hawa watawala kama wangejua hili na kujishusha ili kuepuka vita na kupoteza raia wasio na hatia! africa malaria inatutosha sana!
 
[emoji28][emoji28]ngoja tuone kama maufipa yataenda kusaidia kdf kwenye hii vita ... hapa ndiyo tutajua unafiki wa majitu ya ufipa kujipendekeza kwa Kenya ili kutaka demokrasia[emoji4]
 
KDF jeshi tukufu.
Tony254, kama nilivyokuambia katika, 75% ya maamuzi ya serikali ya Kenya ni "wrong". Kama hii habari ni kweli, basi itakua ni kosa lingine kubwa sana, kama mlivyojipeleka Somalia bila kufikiria kwa undani, matokeo yake mnayaona sasa hivi.

Kenya kwa sasa " can't afford to fight any battle ", politically, Economically and socially" Kenya is very very weak currently.
 
Aisee, hili jukwaa siku hizi linatumika kueneza porojo za kilofa kupindukia. Kenya Navy wakiwa 'deployed' kwenye eneo baharini, ambalo lipo ndani ya mipaka ya Kenya, inamaana kwamba Kenya inapanga kuanza vita dhidi ya Somalia? Hivi hakuna aliyeona kwamba kichwa cha mada hii hakiendani na taarifa yenyewe? Kama Kenya ingekuwa inaingia kwenye vita na Somalia mida hii mngekuwa mnaona breaking news kwenye media zote za kueleweka, za kimataifa na za hapa hapa Afrika.
 
Back
Top Bottom