Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
- Thread starter
- #41
😆😆😆 Mbavu zangu! Niko kwa bar karibu ni mwage bia yangu🍺🍺🍺🍺Somalia wasijisumbue kutumia nguvu nyingi. Wafanye hivi, waje na meli yenye mabox ya mikate. Halafu wajifiche sehemu. Utaona kdf mmoja mmoja akichukua mabox na kuanza kutokomea kusiko julikana.
😁😂🤣