Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Na zibaki kuwa tetesi, la sivyo vita vikizuka wakenya watajuta kuzaliwa.View attachment 1174631
Hayawi hayawi Huwa. Kenyatta ameamua kuweka Jeshi la kenya ndani ya Bahari La somalia.
Ameshindwa na Alshabab sasa anataka vita na Serikali ya somalia
Wakenya najua mtafurahia sana, lakini mfahamu hili:
There are no winners in WAR, Only Death and distruction
Tutafanya lolote ili heshima idumu kati yetu na Somalia, ikibidi kuwatandika basi hatuna budiView attachment 1174631
Hayawi hayawi Huwa. Kenyatta ameamua kuweka Jeshi la kenya ndani ya Bahari La somalia.
Ameshindwa na Alshabab sasa anataka vita na Serikali ya somalia
Wakenya najua mtafurahia sana, lakini mfahamu hili:
There are no winners in WAR, Only Death and distruction
Hahahaha, kwa jeshi lipi?Tutafanya lolote ili heshima idumu kati yetu na Somalia, ikibidi kuwatandika basi hatuna budi
Watakuwa wametumwa na anaewatia dole ili apata pakuingilia kuipiga Somalia. Lazima kuna watu wanaotafutwa na mpiga madole wamefichama hapo.Kenya itafaidika vipi kiuchumi na vita hiyo?
natamani hawa watawala kama wangejua hili na kujishusha ili kuepuka vita na kupoteza raia wasio na hatia! africa malaria inatutosha sana!War Means Distruction. In final analysis all parties involved in war will be at the loosing end.
KDF jeshi tukufu.Hahahaha, kwa jeshi lipi?
Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha. Dunia simama nikakojoe.KDF jeshi tukufu.
Kwa Jeshi kuiba beer kwenye supermarketHahahaha, kwa jeshi lipi?
Mkuu, huu ni udhalilishajiKwa Jeshi kuiba beer kwenye supermarket
Tony254, kama nilivyokuambia katika, 75% ya maamuzi ya serikali ya Kenya ni "wrong". Kama hii habari ni kweli, basi itakua ni kosa lingine kubwa sana, kama mlivyojipeleka Somalia bila kufikiria kwa undani, matokeo yake mnayaona sasa hivi.KDF jeshi tukufu.