Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
- Thread starter
-
- #41
πππ Mbavu zangu! Niko kwa bar karibu ni mwage bia yanguπΊπΊπΊπΊSomalia wasijisumbue kutumia nguvu nyingi. Wafanye hivi, waje na meli yenye mabox ya mikate. Halafu wajifiche sehemu. Utaona kdf mmoja mmoja akichukua mabox na kuanza kutokomea kusiko julikana.
πππ€£
Na hapo Kenya lazima ichapwe maana hakutakuwa na usaidizi wa jeshi LA marekani Kwa sababu si vita zidi ya ugaidi hivyo al shababu nao watapata mwanya kuichapa kenyaHali itakua tete maana hata wale wasomali ambao hawakua wanachama wa Alshabaab sasa watakua maadui wa Kenya!!
Kwa mwingiliano ulivyo ni rahisi sana Somalia kuishambulia kenya hasa kwa mtindo wa mashambukizi ya kushtukiza
Ngoja nikakojoe nikalale !!!!KDF jeshi tukufu.
Go read KDF invasion of Somalia then come back tudiscuss. The all process was discussed in Parliament.
What is real ni kwamba rais U.K anataka idhini ya bunge ili afanye 'deployment' ya Kenya Navy kwenye eneo ambalo kuna mgogoro kati ya Kenya na Somalia kuhusu mpaka. Sio huo upupu kwenye kichwa cha uzi huu.Bro this is real, it has been aired by serious international media.
What is real ni kwamba rais U.K anataka idhini ya bunge ili afanye 'deployment' ya Kenya Navy kwenye eneo ambalo kuna mgogoro kati ya Kenya na Somalia kuhusu mpaka. Sio huo upupu kwenye kichwa cha uzi huu.
Do you think there is a need of deploying the army in the disputed land!!?What is real ni kwamba rais U.K anataka idhini ya bunge ili afanye 'deployment' ya Kenya Navy kwenye eneo ambalo kuna mgogoro kati ya Kenya na Somalia kuhusu mpaka. Sio huo upupu kwenye kichwa cha uzi huu.
Actually it's not that they are being deployed.The have been doing patrols in the contested area for a long time now.Do you think there is a need of deploying
Do you think there is a need of deploying the army in the disputed land!!?
Keep praying for war just remember Somalia πΈπ΄ will always remain your neighbors whether you like it or not. From my little experience most Somalis do not really like Kenyans much, hiyo vita mtatokota kuni kwenye moto.Kenya as a sovereign country has a right to protect its borders in anyway it sees fit. The army has a mandate to protect the country from external enemies. It will not be the first time kenya has fought somalia over boundary disputes, under said bare somalia tried to launch an insurgency in kenya. They were quashed completely by Kenya and the NFD is still Kenyan territory. Al bashir tried to retake a part that kenya had put as a buffer (enemy triangle), he was quashed by KDF. In short kenya has been invaded by neighbors but it has always used its military to completely quell the attacks.
If somalia continues, Kenya should immediately recognize somaliland as an independent country and upgrade the liaison office in somaliland to an embassy. Then in conjunction with ethiopia we should split southern somalia into Jubaland which should become an independent country too(Their warlord is fighting on the side of KDF against al shabaab). Leave the rest to battle it out we will have created a buffer zone with a leader of our choosing as president.
For a person who claims to be kenyan, you have very little knowledge of Kenyan law. KDF can not act locally unless an external enemy has moved into the country's borders eg Al shabaab or foreign military,If they are to be deployed locally then parliamentary approval is necessary and the president can not override the parliament if they do not approve. Note the border is Kenyan territory so it is local.When have you ever seen Uhuru Seek Parliamentary approval to place KDF anywere within the republic of kenya? For heavens sake he is the CinC, He doesnt need approvals to relocate battalions,Squadrons or infantry Boss Read and understand
We have fought somalia before under said bare, this is not new.Keep praying for war just remember Somalia πΈπ΄ will always remain your neighbors whether you like it not. From my little experience most Somalis do not really like Kenyans much, hiyo vita mtatokota kuni kwenye moto.
It is within the mandate of the president and the KDF to protect the integrity of Kenya territory. At this point all options are open i.e dialog and military but Kenya will not accept anything from the ICJ.Do you think there is a need of deploying
Do you think there is a need of deploying the army in the disputed land!!?
Keep dreaming! I know you guys hope and pray for Kenya's downfall but we keep getting stronger. We have defeated somalia when said bare was president and he had the support of America and partly Russia, our only ally was britain and we still defeated said bare. PROOF: Northeastern that was claimed by somalia is still Kenyan territory.Na hapo Kenya lazima ichapwe maana hakutakuwa na usaidizi wa jeshi LA marekani Kwa sababu si vita zidi ya ugaidi hivyo al shababu nao watapata mwanya kuichapa kenya
Wewe nyamaza and mind your own business ,hii ni kati yetu wanajeshi wetu na Somalia. Tanzania wekeni pua zenyu chafu huko slum za Dar es Salaam msinuse haya mambo yasiowahusu nyie.View attachment 1174631
Hayawi hayawi Huwa. Kenyatta ameamua kuweka Jeshi la kenya ndani ya Bahari La somalia.
Ameshindwa na Alshabab sasa anataka vita na Serikali ya somalia
Wakenya najua mtafurahia sana, lakini mfahamu hili:
There are no winners in WAR, Only Death and distruction
Pilipili usiokula wakuwashia nini mtu wa Dar esSlum?Hali itakua tete maana hata wale wasomali ambao hawakua wanachama wa Alshabaab sasa watakua maadui wa Kenya!!
Kwa mwingiliano ulivyo ni rahisi sana Somalia kuishambulia kenya hasa kwa mtindo wa mashambukizi ya kushtukiza
Pilipili usiokula wakuwashia nini wewe mtu wa Dar es Slums?Tony254, kama nilivyokuambia katika, 75% ya maamuzi ya serikali ya Kenya ni "wrong". Kama hii habari ni kweli, basi itakua ni kosa lingine kubwa sana, kama mlivyojipeleka Somalia bila kufikiria kwa undani, matokeo yake mnayaona sasa hivi.
Kenya kwa sasa " can't afford to fight any battle ", politically, Economically and socially" Kenya is very very weak currently.