Uhuru Kenyatta: Serikali nyingi Afrika zinajiendesha kwa kukomoa matajiri

Umenichanganya na aliyezungumzia ukwepaji kodi, hata yeye aliyezungumzia ukwepaji kodi hakumlenga Kenyatta, Kenyatta anashutumiwa kwa kulimbikiza utajiri uliotokana na kupora ardhi kubwa ya wanyonge uliofanywa na baba yake
Okay! So Kenyatta aliwahi shtakiwa mahakamani kwa kosa la kujilimbikizia ardhi?
 
Genius
 
Wengi wanajua kura Nyingi zinatoka kwa wanyonge. Hivo hujidai wanawatetea lakini vigumu sana hao wanyonge kubadilika kwa jinsi hii. Hapa duniani ni survival of the fittest. Kama hufit hata ungetetewa, bure tu. Muhimu ni kusaidiwa kutiwa ufunguo wa akili.
 
 
Baba yake kabla ya nchi kupata uhuru alikuwa na iyo ardhi? Aliipataje huyo baba yake ndio swali la msingi.

hakuna cha swali la msingi,kuiba aliiba baba yake,hoja yangu yeye hajaiba!kakuta mali anapiga mzigo anafanikiwa kibiashara na kisiasa!!lawama za kuiba asipewe yeye!Rostam Aziz aliwahi kusema mali alizonazo zilianza kutafutwa na babu zake 1800 huko Tabora,by then ilikuwa utumwa na pembe za ndovu,huwezi kusema yeye kafanya biashara ya utumwa na pembe za ndovu!!
 
Mpumbavu huyo hawezi kukuelewa
 
Kwa akili zako unafikiri alifanya biashara gani akapata mtaji wa kununua ardhi yote hiyo. Aisee ninyi wakenya bure kabisa, hawahawa utasikia wanalialia ooh hatuna ardhi dadada...
 
Kwa akili zako unafikiri alifanya biashara gani akapata mtaji wa kununua ardhi yote hiyo. Aisee ninyi wakenya bure kabisa, hawahawa utadimia wanalialia ooh hatuna ardhi dadada...
Nadhani umenichanganya na wakenya, mimi ni mtz ninamzungumzia Mohamed enterprises
 
Vijana tununue ardhi tuache ujinga.Unakuta MTU anafanya kazi muleba huko,halafu anashindwa kumiliki hats heka 10.Baadae akiona mtumishi mwenzake mjanja anamiliki ardhi anaanza fitina.
 
Ukisoma comments kama hizi unaona hadi IQ yako inashuka,
Wewe Huna unachokijua zaidi ya mihemko!
 
Ukisoma comments kama hizi unaona hadi IQ yako inashuka,
Wewe Huna unachokijua zaidi ya mihemko!
Sawa wewe njuaji,ila msifilikili kutetea uwozo unaoendela kila siku mtakuja kumsaidia masikini.

Nakumbuka kipindikile baresa alilazimika kupungiza wafanyakazi zaidi ya 500, unafikili watu miatano kukosa ajira umetetelesha watu zaidi ya 2000,maana watu 500 wana familia zinazowategemea kwamba baba/mama yupo kazini/kibaruani akiludi tutapata rizki.

Sakata la sukari,nafikili uchulo ule uliokua unafanywa na baadhi ya viongozi wakikumbuka hata hao wenyewe wanajilaum maana hadi leo ukienda dukani kununua sukari inabaki kua siri yako.

Na sio hivyo tu, viwanda chungumnzima vimefungwa au kupunguza uzalishaji.hii ni kwasababu ya sera na mikakari mibovu kwa wawekezaji inawafanya wawe na mashaka kuwekeza nchini.

TABIA YA KUTETEA NA KUKATAA KUKOSOLEWA KWA KUJIONA NYIE NI WATUKUFU ,KWAMBA HAMUWEZI KUKOSEA ,MSIFILIKILI MNAMSAIDIA MNYONGE,MATAJIRI /WANAFANYABIASHARA WANA NAFASI KUBWA KWA MASIKINI KATIKA ZAMA HIZI TULIZONAZO ,HUWEZI KUMSAIDIA MASIKINI KAMA UNAAMUA KUMKOMOA TAJIRI.
 
Kenyattas own 15,000 km^2,yaani ardhi kubwa kuliko Jamaica au the Gambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…