Uhuru Kenyatta : Sijawahi kugusa bangi maishani mwangu

Uhuru Kenyatta : Sijawahi kugusa bangi maishani mwangu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,721
Reaction score
21,959
Hayo yamesemwa na raise mstaafu wa Kenya alipokuwa akiongea na vijana wa shule ya upili ya Alliance.
Kenyatta aliongea mambo mengi ikiwemo madhara ya madawa, kushindwa kufikia malengo saba u ya uraibu nk.

1786088349086.jpg
 

Attachments

  • 1786088336582.jpg
    1786088336582.jpg
    51.1 KB · Views: 15
Rais wa mfano katiko afriko ya mashariko! Hongero sano rais mstaafo. Sisi wengine tukistaafo hatuachi kuongeleo siaso.
Huyo mbona yupo Sana Kwenye political space kwa taarifa yako hata candidate wa Kuchuana na Ruto anaweza kuletwa na Uhuru na Probably ni Matiangi au Kalonzo hao ni washirika wazuri wa Kenyatta,

Kenyatta yupo Sana Kwenye political arena kwasababu ni Kingpin wa mountain Kenya anakotoka Riggy G

Vyama vya Upinzani vina hati hati ya Kuunga na Kuunda azimio la umoja ambapo flag barrier apo atakuwa na influence kubwa na Kenyatta,

Uhuru amefanya kazi kwa karibu na Fred Matiangi na anatamani awe flag bearer
 
Back
Top Bottom