Huyo mbona yupo Sana Kwenye political space kwa taarifa yako hata candidate wa Kuchuana na Ruto anaweza kuletwa na Uhuru na Probably ni Matiangi au Kalonzo hao ni washirika wazuri wa Kenyatta,
Kenyatta yupo Sana Kwenye political arena kwasababu ni Kingpin wa mountain Kenya anakotoka Riggy G
Vyama vya Upinzani vina hati hati ya Kuunga na Kuunda azimio la umoja ambapo flag barrier apo atakuwa na influence kubwa na Kenyatta,
Uhuru amefanya kazi kwa karibu na Fred Matiangi na anatamani awe flag bearer