Uhuru Kenyatta: The New "Vasco Da Gama"?

kikuyu 22%
Luhya 14%
lion 13%
kalenji12%
kamba6%
kisii6%

kwahiyo kama makabila hayo yana ujasiri wanaweza.tatizo ni kwamba karibu viwanda vyoote kenya rais wao kawekeza mwenyewe. Hataki shobo.

napesa na ana nguvu, ukijifanya unajua saana kumfuatafuata utaokotwa ufukweni asubuhi. Kama huamini kawaulize kamuulize Fatuh Bensuda kule zehegue, wale mshahidi wa ile kesi wako wapi? Atakupa jibu.

Kwa hesabu hizo, Inabidi makabila mengine yote yawe Kitu kimoja kumtoa mkikuyu. Lakini kila mkikuyu akiungana na kabila moja tu, wengine watashindwa daima
 
Jk bingwa wa kusafiri!naona msoga hakukaliki
 
kikuyu 22%
Luhya 14%
lion 13%
kalenji12%
kamba6%
kisii6%

kwahiyo kama makabila hayo yana ujasiri wanaweza.tatizo ni kwamba karibu viwanda vyoote kenya rais wao kawekeza mwenyewe. Hataki shobo.

napesa na ana nguvu, ukijifanya unajua saana kumfuatafuata utaokotwa ufukweni asubuhi. Kama huamini kawaulize kamuulize Fatuh Bensuda kule zehegue, wale mshahidi wa ile kesi wako wapi? Atakupa jibu.

Kenya hakuna wajaluo?
 
Itafika sehemu atabanwa tu. Kwenye retirement package ya former presidents kuna idadi ya safari kwa mwaka kwa fedha za walipa kodi.

Kumbukumbu zangu zanieleza kuwa kila rais mstaafu ana tiketi 4 paid na serikali kwa mwaka kwenda kokote. Hii haijumuishi safari anazotumwa na serikali iliyoko madarakani.
 
Ina maana hata mwezi haujaisha keshalamba ticket tatu?? dah!
 
Huyu Vasco.wa kwetu hana mpinzani kabisaaaa......uyo wa kenya hajipange tena
 
Kumbukumbu zangu zanieleza kuwa kila rais mstaafu ana tiketi 4 paid na serikali kwa mwaka kwenda kokote. Hii haijumuishi safari anazotumwa na serikali iliyoko madarakani.

Afadhali umetaja idadi ya safari hizo. Labda ya AK alitumwa au kualikwa.
 
wakamba na wajaluo ni 5 million Kikuyu na kalenjin ni 11 million
 
Nakumbukuka January mwaka huu vasco alitimiza safari yake ya 427 tokea awe raisi
 
Mkuu, siasa za Kenya zina tofuati sana na za kwetu.

Tanzania ilikuwa suala la ufisadi zaidi. Halikuwa ni ukabila au udini. Kenya wameungana wakikuyu na kalenjin. Mjaluo Odinga hana chake.

Kwa maana hiyo, Kenyatta bado ana nafasi uchaguzi ujao. Kimbembe kitakuwa baada ya hapo. Kuna makubaliano kwamba umoja wa kikuyu/kalenjini umpe Willian Ruto. Lakini yanaweza kutokea ya Kikwete na Lowassa!

Ata yasipotokea ya Kikwete na Lowassa bado Wakikuyu hawana historia ya kumchagua Rais wa kabila lingine,hivyo ata Uhuru akimuunga mkono Ruto kunauwezekano wa Wakikuyu kwenda kwa Mkikuyu mwenzao mwingine atakayegombea kwa chama chochote.Dawa hapa ni kwa Rutto kuhakikisha anaivuta Western kwa Waluhya kwa namna yoyote hasa ukizingatia Odinga bila shaka hatakuwepo mwaka 2022.

Akienda uchaguzi na Wakalenjin, section ya Wakikuyu watakaomtii Uhuru ata ikiwa ni 30%, akaongeza na Waluhya basi atakuwa mshindi.
 
Hivi mkuu wajaluo na wakamba nao hawawezi kuungana kuwang'oa hao wakikuyu+kalenjin?

Wakikuyu na Wakalenjin wana jumla ya 45% ya wapiga kura wote(kwa ichaguzi uliopita), hivyo wanahitaji tu 5% sehemu zingine kushinda.Unaweza kuona hapo jinsi ilivyo ngumu kuwashinda.
 
Kenya ishu ya ukabila inawatesa sana, wao hata ughaibuni wakamba na wakikuyu hawapatani, ni kama ilivyo kwa wahutu na watusi
Kazi kweli kweli

Hapana,sio Wakamba bali Wajaluo na Wakikuyu, Wakamba japo ni Wakabila pia lakin hawajafika level ya Wakikuyu(Uhuru Kenyatta&Mwai Kibaki) na Wajaluo(Raila Odinga).
 
Ata yasipotokea ya Kikwete na Lowassa bado Wakikuyu hawana historia ya kumchagua Rais wa kabila lingine,hivyo ata Uhuru akimuunga mkono Ruto kunauwezekano wa Wakikuyu kwenda kwa Mkikuyu mwenzao mwingine atakayegombea kwa chama chochote.Dawa hapa ni kwa Rutto kuhakikisha anaivuta Western kwa Waluhya kwa namna yoyote hasa ukizingatia Odinga bila shaka hatakuwepo mwaka 2022.

Akienda uchaguzi na Wakalenjin, section ya Wakikuyu watakaomtii Uhuru ata ikiwa ni 30%, akaongeza na Waluhya basi atakuwa mshindi.

Mkuu, hata mimi naliona hivyo. Pamoja na makubaliano ya Uhuru na Ruto, ikifika 2022, Uhuru hawezi kumzuia mkikuyu mwingine kugombea. Kwanza atakuwa kamaliza muda wake na hatajali nini kinatokea. Hii inamuweka pabaya Ruto kutafuta alliance nyingine ambayo haikuwa rahisi.
 
Wakikuyu na Wakalenjin wana jumla ya 45% ya wapiga kura wote(kwa ichaguzi uliopita), hivyo wanahitaji tu 5% sehemu zingine kushinda.Unaweza kuona hapo jinsi ilivyo ngumu kuwashinda.

Hapana,sio Wakamba bali Wajaluo na Wakikuyu, Wakamba japo ni Wakabila pia lakin hawajafika level ya Wakikuyu(Uhuru Kenyatta&Mwai Kibaki) na Wajaluo(Raila Odinga).

Aisee nimekupata vizuri mkuu, shukrani sana
 
kenyata amedeliver wakenya sio mbulula wa kuambiwa chagua amani huku wanaumia .wanamsimamia rais sio kumshangilia
 
Back
Top Bottom