Viongozi WA afrika wanafanana kweli kweli Tanzania tulilia toka 2005 mpaka 2015 sasa zamu ya Kenya kulia na kenyatta na guinea(ngina) wao.Kenyatta mbona nilikuona mpiga kazi gafla umeanza kusuasua vibaya kwenye media?
Kuna kamchezo hapa museveni nae anapenda kusafiri na binti yake, hali kadhalika na Paul kagame na binti yake PIA wamo
Kuna kamchezo hapa museveni nae anapenda kusafiri na binti yake, hali kadhalika na Paul kagame na binti yake PIA wamo