Nadhani hawawezi. Ndiyo maana alliance ya wakikuyu na wakalenjin inaitwa the tyranny of numbers!
Hesabu zinakataa hawawezi.
kikuyu 22%
Luhya 14%
lion 13%
kalenji12%
kamba6%
kisii6%
kwahiyo kama makabila hayo yana ujasiri wanaweza.tatizo ni kwamba karibu viwanda vyoote kenya rais wao kawekeza mwenyewe. Hataki shobo.
napesa na ana nguvu, ukijifanya unajua saana kumfuatafuata utaokotwa ufukweni asubuhi. Kama huamini kawaulize kamuulize Fatuh Bensuda kule zehegue, wale mshahidi wa ile kesi wako wapi? Atakupa jibu.

Itafika sehemu atabanwa tu. Kwenye retirement package ya former presidents kuna idadi ya safari kwa mwaka kwa fedha za walipa kodi.
Kumbukumbu zangu zanieleza kuwa kila rais mstaafu ana tiketi 4 paid na serikali kwa mwaka kwenda kokote. Hii haijumuishi safari anazotumwa na serikali iliyoko madarakani.
Kwani shida ipo wapi wacha afaidi urais maana 2017 Odinga ndo anakuja kummbwagaa mchana kweupe.
Kumbukumbu zangu zanieleza kuwa kila rais mstaafu ana tiketi 4 paid na serikali kwa mwaka kwenda kokote. Hii haijumuishi safari anazotumwa na serikali iliyoko madarakani.
Mkuu, siasa za Kenya zina tofuati sana na za kwetu.
Tanzania ilikuwa suala la ufisadi zaidi. Halikuwa ni ukabila au udini. Kenya wameungana wakikuyu na kalenjin. Mjaluo Odinga hana chake.
Kwa maana hiyo, Kenyatta bado ana nafasi uchaguzi ujao. Kimbembe kitakuwa baada ya hapo. Kuna makubaliano kwamba umoja wa kikuyu/kalenjini umpe Willian Ruto. Lakini yanaweza kutokea ya Kikwete na Lowassa!
Hivi mkuu wajaluo na wakamba nao hawawezi kuungana kuwang'oa hao wakikuyu+kalenjin?
Kenya ishu ya ukabila inawatesa sana, wao hata ughaibuni wakamba na wakikuyu hawapatani, ni kama ilivyo kwa wahutu na watusi
Kazi kweli kweli
Ata yasipotokea ya Kikwete na Lowassa bado Wakikuyu hawana historia ya kumchagua Rais wa kabila lingine,hivyo ata Uhuru akimuunga mkono Ruto kunauwezekano wa Wakikuyu kwenda kwa Mkikuyu mwenzao mwingine atakayegombea kwa chama chochote.Dawa hapa ni kwa Rutto kuhakikisha anaivuta Western kwa Waluhya kwa namna yoyote hasa ukizingatia Odinga bila shaka hatakuwepo mwaka 2022.
Akienda uchaguzi na Wakalenjin, section ya Wakikuyu watakaomtii Uhuru ata ikiwa ni 30%, akaongeza na Waluhya basi atakuwa mshindi.
Mimi sijawahi kushangazwa na Kenyatta
huwa nashangazwa na waliom chagua
Wakikuyu na Wakalenjin wana jumla ya 45% ya wapiga kura wote(kwa ichaguzi uliopita), hivyo wanahitaji tu 5% sehemu zingine kushinda.Unaweza kuona hapo jinsi ilivyo ngumu kuwashinda.
Hapana,sio Wakamba bali Wajaluo na Wakikuyu, Wakamba japo ni Wakabila pia lakin hawajafika level ya Wakikuyu(Uhuru Kenyatta&Mwai Kibaki) na Wajaluo(Raila Odinga).