Uhuru Kenyatta wins Kenya's 2017 General Election. Delivers his speech to thank all Kenyans...

Uhuru Kenyatta wins Kenya's 2017 General Election. Delivers his speech to thank all Kenyans...

BBC wameripoti Odinga na timu yake washaondoka kitambo kwa kuwa hawako tayari kutangaziwa kipigo tena!
 
13eed0fcb325bc1adcba007aabd46b78.jpg
9e1418b4edb8d10ea55110f8d51dc461.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa awamu nyingine ya miaka mitano.
Kama utaona inafaa tengeneza serikali itakayowajumuisha wapinzani ili kujenga Umoja wa kitaifa.
 
Itabidi Raila Odinga afanye kama le profeseli liPUMBA sasa! IF YOU CAN NOT FIGHT THEM, JOIN THEM!!! mambo ya politiki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna jipya hapo walikuwa wanaimarisha ulinzi tu afu ndo watoe matokeo odinga kapumzike kisumu lkn yote kwa yote ni kifo cha msando ambaye hakuwa na hatia lkn ndo siasa ilvyo mchezo mchafu
 
I'm glad i played my part to discredit and decampaign NASA for their disastrous politics.Siasa mbaya = maisha mbaya - Kenya deserves better thank God.
Kweli jombaa, asee hawa jamaa ni mazuzu kabisa! Atakaye weza amfikishie RAO huu ujumbe. Makali ni pombe ya vijana na wazee ambao bado hawajaanza kuexpire. Mzee kama yeye kunywa makali yaani ni kama ni maziwa vile ndo zinampa ndoto za ajabu ajabu hadi anasahau alichosema masaa mawili tu hayajapita. Mwambie ni ujumbe kutoka pingli-nywee na nilisahau kumpa huu ushauri kabla ya uchaguzi kwasababu mimi ni mfuasi wa jubilee!
 
Back
Top Bottom